Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
uzi[emoji116]
kufananisha sio tu sura bhna. Kuna ule msemo Ukiona njugu unadhani ni njege na ukiona njege unadhani ni njugu, humu ndani kwa baadhi ya member unajidhihirisha.
Humu kuna members huwa wanafanana saana unakuta mwandiko unaendana, avatar, mawazo kwenye michango n.k.
sina maana ya Mult-Ids hapana.
nitaanza na hawa nawafananisha saana na huwa naona wanaendana hadi najiuliza si mtu mmoja??
......
Mwandiko.
Wapenda shari wewe, muoneHujajibu swali langu moja.
Mimi na huyo fala tunafanana nini?
Duhh mkuu unanifurahisha sana kauli zako!Hujajibu swali langu moja.
Mimi na huyo fala tunafanana nini?
aisee daahhBaba swalehe nyani ngabu
Naona leo upoaisee daahh
Mimi nabold. then naitalize.
Funguka..Huyu mwifwa nitakuwa namfahamu pesonale
HahahahhahahaaaaCHIKIRAMTABARI na NAHUJA
Babu mimi nafananana na nani?
Ongeza speedNakuja
Koh kohOngeza speed
Hapa usalama upo kweli kwa hivi "koh koh'.Koh koh
Niko hapaOngeza speed
nimefuata trophy point nasikia melo anagawa hafu swalehe kanambia trophy point zaweza change kwenda m..Pesa .....Naona leo upo