Kuna member JF wanafafanana humu

Kuna member JF wanafafanana humu

uzi[emoji116]

kufananisha sio tu sura bhna. Kuna ule msemo Ukiona njugu unadhani ni njege na ukiona njege unadhani ni njugu, humu ndani kwa baadhi ya member unajidhihirisha.

Humu kuna members huwa wanafanana saana unakuta mwandiko unaendana, avatar, mawazo kwenye michango n.k.

sina maana ya Mult-Ids hapana.
nitaanza na hawa nawafananisha saana na huwa naona wanaendana hadi najiuliza si mtu mmoja??

......

Hujajibu swali langu moja.

Mimi na huyo fala tunafanana nini?
 
Wewe sijaona ila kuna wanaobold kama wewe.

Cc Mwifwa
Mimi nabold. then naitalize.
Hiyo ni tofauti mojawapo.

Kifikra sidhani kama yupo tunaweza kufanana naye, kama kuna mtu aliyengamua hili anishtue nije nishuhudie
 
Back
Top Bottom