Kuna member JF wanafafanana humu

Siku hizi haumpendi? Halafu ndugu yangu wewe ulimi tofali aseeh ukipenda sema usikute alikuwa amasubiri utamke tu.
Nilimpenda ila sikuwa na mpango wa kumla.
Ndio maana nikapiga kimya tu.
Siku hizi kapotea sana jukwaani nadhani majukumu na umri
 
Hapo kwa Karucee mmha hapana aisee
 
Hmmm. Interesting.

Bahati mbaya sikubahatika kumfahamu huyo bi dada so I don't know for sure if there are similarities in how we write.
 
Hata Mimi najiona nimefanana na Ontario wa forex kwa kila kitu ila kwa upande wenu sijui mnasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…