Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nilimpenda ila sikuwa na mpango wa kumla.Siku hizi haumpendi? Halafu ndugu yangu wewe ulimi tofali aseeh ukipenda sema usikute alikuwa amasubiri utamke tu.
Ndio maana nikapiga kimya tu.
Siku hizi kapotea sana jukwaani nadhani majukumu na umri