Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Zamani Soko Matola kulikuwa Na Mzee mmoja hatari sana, Mzee Mwampyate. Wale vigagula wa Nonde Na Majengo walikuwa wanamuheshimuMzee wa Nonde unatafutwa pale Kalobe
I think I should aisee.Mfuatilie utajiona
Shukran.Alikua anapenda kutoa ushauri ulionyooka kama wewe,
Ila nadhani kuna tofauti katika misimamo yenu.
Hahaaa.Umenifanya niwaze haraka haraka kuhusu Karucee na Afrodenzi. Ni kweli hawa watu kwenye michango yao wanashabihiana sana wote hawa wana mtazamo huru na wako free kufikisha ujumbe wao vile watakavyo wao badala ya kuangalia jamii inataka kusikia lipi.
Weekend hii em mtafute huyu mdau kwa pamoja tulisongeshe weekendUfanye unimisi na mimi.
. Tuacheni pacha wa Tanga na Shy town Cc Mama Sabrina
Muone
Nini hiko?Eti mnafanana?
Sawa mkuuUnakosea sana mkuu
Kumbe mkuu umewagundua hawa watu wanavyotuchezea akili zetuHawafanani hawa bali ni mtu mmoja.
Yaani namaanisha ni nafsi na roho moja.
Ngoja nimuite shangazi espyUmeita wazee? Hapo naona umeita kubwa la mabazazi na fundi ya giza tu
Hahaaaaa.Weekend hii em mtafute huyu mdau kwa pamoja tulisongeshe weekend
Daby anafanana LeiguananEkzatilii hawa watu wanafanana saana.
mtiririko wa mawazo unaenda sawa...
Id nazo kwa mbaali.
Wewe kuna mdada anaitwa @nasjaz If I'm mistaken.
Khaaa...!!!
[emoji188]Khaaa...!!!