Kuna member JF wanafafanana humu

Kuna member JF wanafafanana humu

Umenifanya niwaze haraka haraka kuhusu Karucee na Afrodenzi. Ni kweli hawa watu kwenye michango yao wanashabihiana sana wote hawa wana mtazamo huru na wako free kufikisha ujumbe wao vile watakavyo wao badala ya kuangalia jamii inataka kusikia lipi.
Hahaaa.

Very interesting.
 
Hapana... Sina dada wa jina hilo wala linalokaribiana na hilo.

mtiririko wa mawazo unaenda sawa...

Id nazo kwa mbaali.

Wewe kuna mdada anaitwa @nasjaz If I'm mistaken.
 
Back
Top Bottom