Anaemfuatia?Mtema pumba maarufu
Ushimen na jiwedogo.....[emoji12] [emoji12]Duuh hizi kesi sasa
Mtaje mkuuMbona yupo wazi tu.
Amigo, ebu punguza utani unao fanana na ukweli aiseeeee......[emoji13] [emoji13] [emoji13]Comrade ndiyo wewe nini? Huwa namfananisha na baba swalehe
Kwahiyo ni kwamba yuko sawa upstairs?Yupo tena mutu ya bukoba hukom
Hapo anamzungumzia Malaria Sugu?Yupo tena mutu ya bukoba hukom
Mwenzio nini huyo
Kwahiyo ni kwamba yuko sawa upstairs?
Akchware miwatu ya bukoba ina IQ kubwa, usikute ni Prof.
And Bezikale atakuwa na hera za kutosha, meaning that anaeeza kununua Njito yote kuanzia pale nyumbani kwa yule mzee alianguka na helcopta yake mpaka kule chini
Ipo hai comrade, zaidi ni mabadiliko ili kuonja na ladha ya upande mwingine....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Whatup? Ile ilipata shida gani
Huyu mtu aliyechangia Agriculture revolution huko Britain wakati wa kipindi cha industrial revolution Ali apply scientific methods in agriculture mfano seed drill na zingnezoHivi hii lottah ni ile ya ghost town? Kwanini ulijiita hivyo
Oouh, nimekupata.Huyu mtu aliyechangia Agriculture revolution huko Britain wakati wa kipindi cha industrial revolution Ali apply scientific methods in agriculture mfano seed drill na zingnezo
Kama umesoma ma PCM huwezi kuielewa lakini hizi ni zetu watu wa H kunani