Kuna members hapa jamiiforum hawajawahi kupanda usafiri wa bodaboda

Kuna members hapa jamiiforum hawajawahi kupanda usafiri wa bodaboda

Kuna mjeda mmoja nilikuwa napiga naye story anasema anamuomba Mungu amuepushe na huo usafiri yaani hawezi kuendesha wala hawezi kubebwa.

Ana life flani tamuu hapa mjini

Mimi binafsi natembea Kwa miguu hata kilomita 30 na zaidi siku nikiamua

Naendesha baiskeli umbali mrefu tu,

Naendesha pikipiki kama kawa,

Natumia usafiri wa boda,bajaj inapobidi.

Naendesha Gari zangu.

Naendesha Gari ya ofisini

Naendeshwa pia inapolazimika

Maisha hayataki userious sana
 
Kwa sasa nimepunguza lkn ulikuwa ni usafir wangu wa kila siku, hata jana nilipanda boda.
 
Boda inarahisisha sana maisha, mambo ni chap chap hasa ukiwa na haraka huko dasalama. Ila kukugeuza kilema au mavumbi ni kugusa tu.
 
Kama una usafiri, bodaboda ya nini? Siwezi kukwepa bodaboda kwa kuwa mimi ni kapuku.
Usafiri sio issue. Mazoea tu. Najua watu wengi wana magari zaidi ya moja ila wanapanda sana bodaboda. Akiacha gari car wash au service anarukia bodaboda. Akiitwa sehemu haraka anarukia boda. Na zishawaapa Majanga ila hawakomi.
 
Kuna mjeda mmoja nilikuwa napiga naye story anasema anamuomba Mungu amuepushe na huo usafiri yaani hawezi kuendesha wala hawezi kubebwa.

Ana life flani tamuu hapa mjini

Mimi binafsi natembea Kwa miguu hata kilomita 30 na zaidi siku nikiamua

Naendesha baiskeli umbali mrefu tu,

Naendesha pikipiki kama kawa,

Natumia usafiri wa boda,bajaj inapobidi.

Naendesha Gari zangu.

Naendesha Gari ya ofisini

Naendeshwa pia inapolazimika

Maisha hayataki userious sana
Kama hakuna ulazima achana na bodaboda. Huo ni usafiri hatarishi.
 
Back
Top Bottom