Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Labda nina pasaka chache na eid chache humu JF, Jamiiforums bila watu sio kitu Tena wazee wanachoka au labda wana majukumu mengi ata muda wa kutype hawana, tupo new generation tunalisongesha gurudumu hapa JF.
Inawezekana Kuna member walifanya makubwa kwenye majukwaa humu JF na mada zao zilizoshiba, ulikuwa wakati wao tukubaliane zile Zama zimepita Japo wamebaki wachache wanalisongesha gurudumu humu JF. Tukubali JF inabadilika kizazi kipya nacho kinajiunga JF pia.
Kuna member kila mada za wezao wao ni kupinga na kukatisha tamaa wanajiona ni miungu watu kila kitu sio sawa, Mara ooh JF siku hizi imevamiwa na watoto, mbona nyie wakongwe wa JF mpo tu, leteni hizo mada zilizoshiba vijana tujifunze kutwa na nyie mnalia maisha magumu na mapenzi nonsense.
Mkuu Melo alikuwa na akili Sana kuweka categories za majukwaa ili kila mtu au member wa humu achague kwenye option yake inayompendeza, ukiona mada za kipumbavu una ignore tu maisha yanaendelea. Kwa uchunguzi wangu mdogo humu JF mada za kipumbavu ndo zinapendwa Sana na kupewa airtime kubwa na members.
African minds, hao wanajiona Bora humu JF hata kwenye majukwaa ya kujifunza kilimo, ujasiriamali, siasa, tech nk huwaoni kutwa wapo kwenye thread za mapenzi tu na umbea wapo kupinga mada za watu. Mna afya ya akili baadhi yenu.
Watu wametoa story zao nzuri nyie kutwa kuwakatisha tamaa, ni wapumbafu eti kisa ni wakongwe mmejimilikisha Jamiiforums ni Mali yenu.
Kuna members humu JF wako na roho safi, nimeanza kuwajua kitambo hawana makasiriko be blessed kwao,
Baba Mshana Jr Antonnia Darlin UMUGHAKA GENTAMYCINE Numbisa Elli Mohamed Said Unique Flower Half american na wengine kibao