Kuna members kila mada za wezao wao ni kupinga na kukatisha tamaa

Wataje yaishe..!! Vinginevyo ni unafiki kama unafiki mwingine
 
Thread ya kijinga kabisa
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Ahsante sana mkuu Mo mp5 kwa kunitag,mini ni mtu poa sana,makini na mwenye nidhamu ya hali ya juu kwasababu Tarime hatufundishwi matusi bali unyenyekevu na ukakamavu!.


Wanaotukana wapo wengi sana na ndiyo maana nikaandika Uzi kuwashauri Viongozi wa JF waiokoe JF Thread 'Moderators tafadhali iokoeni JF imevamiwa na kundi la wajinga' https://www.jamiiforums.com/threads...eni-jf-imevamiwa-na-kundi-la-wajinga.2064129/
 
Be blessed mkuu
Me ni shabiki yako mkubwa hapa jf
 
Ndio matatizo ya magonjwa yasiyoambukiza yanaongezeka sana nyakati hizi Kwa kuwa watu wanakwazika kwa mambo madogo sana yanayowanyima furaha maishani mwao........

Mtu unakosaje Raha na furaha kwa mambo yakufikirika ya huku mitandaoni......unayawekaje moyoni mambo ya watu ambao hamjuani pengine hamtakaa mjuane.........

Sikuwahi kufikiria kuwa kuna watu wanaichukulia jf seriously kiasi hiki hata kukosa amani maishani mwao.......

JF ni kijiwe kama vijiwe vingine na penye wengi pana mengi....kila mtu ana hulka na tabia zake.........

Kukwazika kwazika kwa mambo madogo ni hatari afya yako na ustawi wa maisha yako...alafu ni dalili ya kuwa mtu hajakomaa kiakili......
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…