Kuna mengi ambayo askari wa usalama barabarani wa Tanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa wenzao wa Rwanda

Kuna mengi ambayo askari wa usalama barabarani wa Tanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa wenzao wa Rwanda

Kwani askari wa Rwanda wanalipwa mishahara mikubwa sana?!! Tena ni kidogo kuliko hawa wa kwetu, sema ni kuendekeza tu, na hiyo ni kutokana na mfumo mzima kuoza!! Kama ni njaa mgekuwa DRC, si mgekuwa mnauza na magari ya watu kabisa?!!
Wacheni tule kwa urefu wa kamba zetu baba ndio maisha yetu ndani ya Jeshi
 
Traffic wa Tanzania ni wasumbufu sana unakuta wanasumbua namba za nje wakati wameleta hela wao hawajui wakati sisi tukiwa huko hatusumbuliwi unaweza kutoka JHB mpaka Tunduma ukahesabu idadi ya Trafiki waliokusimamisha tena kwenye vizuizi ila kutoka hapo mpaka unafika Dodoma utachoka wengine wanaruka toka maporini kusimamisha gari Road daah mimi nishawazoea maana usipowazoea utakorofishana nao kila siku..
 
Back
Top Bottom