EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Wacheni tule kwa urefu wa kamba zetu baba ndio maisha yetu ndani ya JeshiKwani askari wa Rwanda wanalipwa mishahara mikubwa sana?!! Tena ni kidogo kuliko hawa wa kwetu, sema ni kuendekeza tu, na hiyo ni kutokana na mfumo mzima kuoza!! Kama ni njaa mgekuwa DRC, si mgekuwa mnauza na magari ya watu kabisa?!!