Wabunge wangapi wamefariki na ugonjwa??sio rahisi kuacha posho, makamanda waziache kweli??
Selasini ni CCMNadhani MH Selasini bado anataka kuhudhuria vikao vya bunge
Sifahamu mkuu.Wabunge wangapi wamefariki na ugonjwa??
Kubenea.komu na selasini jtatu wameapa wataingia bingeniSelasini ni CCM
Kama fukuto na mkanganyiko uko ziziem. Kwa hili wamepigwa bao. Watz wako mil 50, kati ya waliofariki 16 watatu ni wabunge, na inasemekana kuwa kuna wabunge wengine kama 3 wanaendelea kupata matibabu. Utaona hapo kiasilimia jinsi gn ugonjwa umeingia ndani ya bunge. Yaani robo ya wathiikiri ya watz ni wabunge.
Ttz la mleta mada ni ktk nyumbu, mshua akitoa amri ya kusimamisha bunge ili waende lockdown Atakuwa wa kwanza kupongeza hapa