kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Mbowe atabaki peke yake bungeniMkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa
Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe atabaki peke yake bungeniMkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa
Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Nimemuona hapa Pascal haonga akisema walipaswa kupimwa na kuendelea maana wamezidiwa hata na mabodaboda wao wanabeba watu licha ya corona tena wao hawana bima kama wabunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Mkuu tusubiri muda utaamua Chadema kunawaka moto
Baadhi ya waheshimiwa wanaweza kuitisha Press muda wowote
Kwa ivo kumbe wakina Kingu wanang'ang'ania kubakia na kufia Bungeni kwa sababu wanataka kupata posho?sio rahisi kuacha posho, makamanda waziache kweli??
kwa njaa waliyonayo wabunge wengi wa Ufipa mimi naamini ulichosema Bia Yetu! hata kwa logic tu mtu akichezea ugali wa wanao hawezi kuwa rafiki yako!! yani kwa ndani wabunge wote maskini wa roho wamechukia mno ila usoni watamchekea sana DJ kinafki!
DJ hajawahi kuwa na akili siku zote huwa anakurupuka tu!! chama ni saccos yake na daima zidumu fikra zake tu, ni dikteta!
Press haina maana ni suala la kutii na usipoafiki endelea na vikao period.
Viongozi wa cdm hawajawafunga minyororo wabunge wao. Hali ni mbaya tusicheze na uhai ndugu.
Wanakimbia vita kwamba watanzania wapigane wenyewe chini ya majemedali wa CCM.
Baba mwenye nyumba jee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa mawazo yakoKuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho