Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Weka majina hata 5 tu kati ya bunge hao wengi.Sio selasini tu Mkuu, wapo wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka majina hata 5 tu kati ya bunge hao wengi.Sio selasini tu Mkuu, wapo wengi
Wamesema wana jikarantini kwa siku 14 kwahiyo tusubiri hizo siku ziishe tuone kama watarejea, au bunge litakuwa limeisha? Hayo mengine ni ushabiki wako tu umekusukuma kuandikaKuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Ungeacha uzushi kwanza...Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
DJ akisha shauriwana Lema, Lisu, mdee na Jacob mlio bakia ni ku swaga tu uki chukulia Nyumbu wenyewe hawjitambui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi naamini muda ni hakimu mzuri tu, tusubiri tuone majibu ya korona huko mbeleni, hapa naumwa naogopa kutoka njeMkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa
Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Wamesema wana jikarantini kwa siku 14 kwahiyo tusubiri hizo siku ziishe tuone kama watarejea, au bunge litakuwa limeisha? Hayo mengine ni ushabiki wako tu umekusukuma kuandika
Kisambaratike mara ngapi. Baada ya uchaguzi chadema inazikwa.Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Washirikishwe wasishirikishwe achana nao hayakuhusuWabunge wengi Wa Chadema hawajashirikishwa
Tusubiri mpasuko
Kutwa kucha kupiga umbea kwenye mitandao umekosa kazi?? Undondocha hautaisha Lumumba.Sugu hawezi kuchaguliwa tena namshauri ahamie Ccm
Wamefanya nini?
Mkuu suala la hiari halihitaji kuapa!