Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Wamesema wana jikarantini kwa siku 14 kwahiyo tusubiri hizo siku ziishe tuone kama watarejea, au bunge litakuwa limeisha? Hayo mengine ni ushabiki wako tu umekusukuma kuandika
 
DJ akisha shauriwana Lema, Lisu, mdee na Jacob mlio bakia ni ku swaga tu uki chukulia Nyumbu wenyewe hawjitambui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeacha uzushi kwanza...
 
Hii ni dharau kubwa sana kwa wabunge wengi wa Chadema

Nawashauri wabunge wajitathimini km wanafaa kuendelea kuwa Chadema
DJ akisha shauriwana Lema, Lisu, mdee na Jacob mlio bakia ni ku swaga tu uki chukulia Nyumbu wenyewe hawjitambui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa

Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Hata mimi naamini muda ni hakimu mzuri tu, tusubiri tuone majibu ya korona huko mbeleni, hapa naumwa naogopa kutoka nje
 
Wabunge wengi Wa Chadema hawajashirikishwa

Tusubiri mpasuko
Wamesema wana jikarantini kwa siku 14 kwahiyo tusubiri hizo siku ziishe tuone kama watarejea, au bunge litakuwa limeisha? Hayo mengine ni ushabiki wako tu umekusukuma kuandika
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Kisambaratike mara ngapi. Baada ya uchaguzi chadema inazikwa.
 
Kuumwa hakujaanza wala hakutaisha

Nenda kapime afya yako
Hata mimi naamini muda ni hakimu mzuri tu, tusubiri tuone majibu ya korona huko mbeleni, hapa naumwa naogopa kutoka nje
 
Hali ni mbaya bungeni
Na madaktari, manesi na wauguzi nao wasemaje?

Vyombo vya ulinzi na usalama nao wasemaje?

Ohoo wabunge wanakufa na corona bungeni
Mpo 363 alafu hamtaki mtu afe mnataka afe nani?

Corona ipo tu kila kona kwani mtoto wa mbowe alipata corona akiwa bungeni?

Makamanda wanakimbia vita
Alafu wanataka wapewe nchi
Likitokea tena janga kama ili si watajifungia ndani chama kizima, polisi, madaktari, manesi, wauguzi, madereva wa ambulance, wafanya biashara sokoni, wauza maduka
Kusema kweli ukimkabidhi chama mwanamke alafu ndio asimamie mambo makubwa ni lazima mtaferi tu
Mbowe kamkabidhi chama halima mdee na Ester bulaya lazima tu mferi...
Unakwenda kuwafungia ndani makamanda kwa madai ya kwamba wajiweke karantini sasa ole wenu tuwaone mmekaa bar...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamefanya nini?
1588399189861.png

Huku ndiko kumaliza vizuri mambo yenu?

1588399275667.png

Hawa nao ni wamaliza mambo kistaarabu kweli?

1588399426227.png

Hizi siyo tabia za kihuni kweli?
 
Back
Top Bottom