Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini


Sasa ndugu yangu ngoja nikuulize maswali madogo tu

Tangu hili bunge limeanza nambie ni mbunge gani wa chadema umemuona anaongea live kwenye tv akiwa bungeni?

Jambo la pili, hivi mtanzania anawakilishwa na mbunge kwa kwenda tu eneo la bunge?

Jambo la tatu na mwisho, kwa mawazo yako unadhan wabunge wa ccm wanataka kwenda bungeni? I'm sure unajua hawataki but wanakwenda kwa kushinikizwa sasa ulitaka chadema wafanye nn?
 
Wabunge wengi tu wa Chadema wameongea live akiwemo Mdee, Prof. J, Esther Bulaya, Mbowe, Sugu nk.
 
Wabunge wengi tu wa Chadema wameongea live akiwemo Mdee, Prof. J, Esther Bulaya, Mbowe, Sugu nk.

Uliona kwe Chanel gani?
Hebu tuache kuwa mazuzu, tuache uongo usiokuwa na msingi

Chanel zote zilikata matangazo wakati wabunge wa Chadema wakiongea, hizo voice wamejirecod wenyewe
 
Si wanamuita Mwamba. Kwani sifa na tabia za miamba huwa ni zipi?
 
Si wanamuita Mwamba. Kwani sifa na tabia za miamba huwa ni zipi?

Kila mtu anamtii na kumsikiliza mwenyekiti wake 😂 😂

Mwenyekiti wa ccm angetaka lockdown na wa chadema angesema ni mbaya kiuchumi I'm sure na ww ungekuwa upande wa lockdown
 
Wao ni wawakilishi wa wananchi waliowachagua kutoka majimboni. Mimi nadhani ilikuwa ni busara zaidi kuendelea na vikao vya Bunge huku tahadhari kubwa zaidi za kujikinga na maambukizi ya Corona zikichukuliwa.
Kitendo cha kukimbia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni sawa na:-
(1)Mawaziri wote na watendaji mbalimbali Serikalini kukimbia majukumu yao na kwenda kujificha majumbani mwao kwa kuogopa Corona.
(2)Wanajeshi wote kwa ujumla wao kukimbia na kuacha majukumu yao kwa kuogopa Corona.
(3)Madaktari, Manesi na Wauguzi kukimbia na kuacha majukumu yao kwa kuogopa Corona.
Kwa hiyo, uhai wao wanaona ni bora zaidi kuliko uhai wa ndugu zetu wapendwa MADAKTARI, MANESI, WAUGUZI, WANAJESHI, MAWAZIRI, VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI SERIKALINI NK. wanaopambana kila dakika kwa ajili ya ulinzi na usalama wa maisha yetu?
 
Spika wa bunge leo kaongelea sifa na tabia za Mwamba:
 

Kila mtu amsikilize mwenyekiti wake
 
Wana lumumba poleni,
Kuna vinyuzi vingine vinachekesha kwa kukosa mantiki na hasa mvuto. Wenzenu ambao hawakujaaliwa moyo wa uking'ang'anizi kama wa mwendawazimu waliishachoka na kupotea.
Ila WAGUMU kama nyie, kwa 'matumaini' ya kujiongezea ukubwa wa kipato hakuna njia endeleeni kuokoteza na kufaragua vihadithi.
Siku Polepole atakapoibuka kutoka huko alikolazimika kujificha na ikatokea mkalipwa kwa mikupuo, itakuwa sherehe kubwa katika ukame huu na hata nyumbani kwako utapendwa zaidi. Amen
 
Si whamie CCM tuu,
Wanafiki hao
 
Kwani Bashiru, Polepole, Mtumbuamacho wako wapi?
 
Uliona kwe Chanel gani?
Hebu tuache kuwa mazuzu, tuache uongo usiokuwa na msingi

Chanel zote zilikata matangazo wakati wabunge wa Chadema wakiongea, hizo voice wamejirecod wenyewe
Acha uongo! TBC1 wameonyesha nenda hata kwenye website yao utakuta! Hata youtube
 
Haijafikia Demokrasia iliyoko CHADEMA ya kuwaacha kina Selasini na Komu kuendelea kuwa CHADEMA wakati wameshatangaza kuwa watahamia NCCR-Mageuzi!!
Nyuma ya pazia kuna mengi maovu yamefichwa, ndiyo maana Mtukufu Mbowe hathubutu kuwafukuza. Lakini wasipokuwa makini na usalama wao yatawakuta ya kuwakuta.
 
This is another rubbish. Mleta mada una akili ndogo sana hujui maana ya chama, unafikiri chama ni hao wabunge mnaotumia pesa za walipa kodi kila siku kuwanunua.

Hao akina sijui Salasini, Kubenea na sampuli yao waondoke tu waende hata sasa, mlango uko wazi, who are they to hold the party to ransom.

Chadema ina fanatics wengi wasio na idadi wafia chama na sio hao wafia tumbo na ambao Magufuli hana kabisa hela ya kuwanunua. Hao waende hata sasa, tena waende kabisa. Bure kabisa hao.

Watu wenye akili zao hawawezi kuendelea kuhatarisha maisha yao kisa ubunge huku wabunge wengine tayari wanakufa kwa corona. It's a sheer foolishness.
 
Acha hasira... Mwenyekiti kazidi udikteta. Sasa amegusa masilahi ya watu.. subir uone


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…