Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Wewe acha ukichaa Rais huwezi mlinganisha na Mbunge!! Rais ni nembo ya nchi analindwa sana tu kama kuna tatizo lolote nchini yeye anakuwa wa mwisho kuumizwa unafikiri Rais anatakiwa kuwa mbele? Haijawahi tokea duniani labda kwenye Saccos ya Chadema!
Anakimbia hata ofisi? Sii mumvalishe PPE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiambiwa wanaopinga maamuzi ya Mbowe hutaamini ni Wengi sana

Iko wazi dj amezidi udkteta
 
Wakifukuzwa vigogo wa Chadema Mbowe atavuliwa nguo
Nyuma ya pazia kuna mengi maovu yamefichwa, ndiyo maana Mtukufu Mbowe hathubutu kuwafukuza. Lakini wasipokuwa makini na usalama wao yatawakuta ya kuwakuta.
 
Naona ma - great thinker mnachangia mipasho maana mleta uzi anajibu kila kitu kama mada za mlokole money penny
 
Chadema wamelitia aibu Taifa

Watanzania wamewaamini wamewachagua kwenda kuwakilisha bungeni wao wamekimbia bunge

Sisi tuliowachagua tupo mtaani tunapambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…