hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Acha uongo! TBC1 wameonyesha nenda hata kwenye website yao utakuta! Hata youtube
Lini tbc imerusha bunge live? Nenda kafuturu kwanza then uje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo! TBC1 wameonyesha nenda hata kwenye website yao utakuta! Hata youtube
Kelele za chura hizi..Tusubiri bomu kulipuka ufipa, safari ufipa watagawana fito
Kwani umeanza kuangalia TBC1? Si wanasaccos ya Chadema mlisusa?Lini tbc imerusha bunge live? Nenda kafuturu kwanza then uje
Anakimbia hata ofisi? Sii mumvalishe PPE?Wewe acha ukichaa Rais huwezi mlinganisha na Mbunge!! Rais ni nembo ya nchi analindwa sana tu kama kuna tatizo lolote nchini yeye anakuwa wa mwisho kuumizwa unafikiri Rais anatakiwa kuwa mbele? Haijawahi tokea duniani labda kwenye Saccos ya Chadema!
Rais ana ofisi kila eneo hapa TZ
Acha hasira... Mwenyekiti kazidi udikteta. Sasa amegusa masilahi ya watu.. subir uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna ushahidi, hizi ni porojo tu ambazo hazina maana yoyote.Mkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa
Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Unaambia hakuna kikao chochote kilifanyika, yalikua ni maamuzi ya kibabe 'as usual' ya mwenyekiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
'majemedali' ndo nini ?Wanakimbia vita kwamba watanzania wapigane wenyewe chini ya majemedali wa CCM.
This is another rubbish. Mleta mada una akili ndogo sana hujui maana ya chama, unafikiri chama ni hao wabunge mnaotumia pesa za walipa kodi kila siku kuwanunua.
Hao akina sijui Salasini, Kubenea na sampuli yao waondoke tu waende hata sasa, mlango uko wazi, who are they to hold the party to ransom.
Chadema ina fanatics wengi wasio na idadi wafia chama na sio hao wafia tumbo na ambao Magufuli hana kabisa hela ya kuwanunua. Hao waende hata sasa, tena waende kabisa. Bure kabisa hao.
Watu wenye akili zao hawawezi kuendelea kuhatarisha maisha yao kisa ubunge huku wabunge wengine tayari wanakufa kwa corona. It's a sheer foolishness.
umeongea kama kukuNimemuona hapa Pascal haonga akisema walipaswa kupimwa na kuendelea maana wamezidiwa hata na mabodaboda wao wanabeba watu licha ya corona tena wao hawana bima kama wabunge
Tuwe wangalifu. Tuepuke kusherehekea balaa kwa mwenzio nawe umelala mlango wazi.Mkuu tusubiri muda utaamua Chadema kunawaka moto
Baadhi ya waheshimiwa wanaweza kuitisha Press muda wowote
Wao ni wawakilishi wa wananchi waliowachagua kutoka majimboni. Mimi nadhani ilikuwa ni busara zaidi kuendelea na vikao vya Bunge huku tahadhari kubwa zaidi za kujikinga na maambukizi ya Corona zikichukuliwa.
Kitendo cha kukimbia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni sawa na:-
(1)Mawaziri wote na watendaji mbalimbali Serikalini kukimbia majukumu yao na kwenda kujificha majumbani mwao kwa kuogopa Corona.
(2)Wanajeshi wote kwa ujumla wao kukimbia na kuacha majukumu yao kwa kuogopa Corona.
(3)Madaktari, Manesi na Wauguzi kukimbia na kuacha majukumu yao kwa kuogopa Corona.
Kwa hiyo, uhai wao wanaona ni bora zaidi kuliko uhai wa ndugu zetu wapendwa MADAKTARI, MANESI, WAUGUZI, WANAJESHI, MAWAZIRI, VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI SERIKALINI NK. wanaopambana kila dakika kwa ajili ya ulinzi na usalama wa maisha yetu?