Wanatamani kumkimbia corona ambaye tayari yuko bungeni, lakini mwenyekiti kashinikiza wachape kazi, wanasema mbona yeye mwenyekiti kalaza zake nyasi yuko chato!
Sent using Jamii Forums mobile app
Propaganda ambazo hazitimii ni sawa na mtu kujitekenya mwenyewe. Wewe propaganda huziwezi. Muombe kigogo muongozo maana 99% ya asemacho ni kweli, wewe unaendeshwa na mihemko ili buku 7 iingie. Jaribu hata kuwa realistic japo hata kwa 2% kwenye kazi zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnafikiri shuguli zote za serikali zikisimama mtaishije, watu wote ni sawa, wanajeshi,polisi,wabunge, manes na madaktar, wahasibu, wauza vyakula sokoni wote ni binadamu. Wakisitisha shughuli zao wote wajifungie carantin wewe hapo ambaye unashangilia ujinga utarudi kuomba PO hapaKama fukuto na mkanganyiko uko ziziem. Kwa hili wamepigwa bao. Watz wako mil 50, kati ya waliofariki 16 watatu ni wabunge, na inasemekana kuwa kuna wabunge wengine kama 3 wanaendelea kupata matibabu. Utaona hapo kiasilimia jinsi gn ugonjwa umeingia ndani ya bunge. Yaani robo ya wathiikiri ya watz ni wabunge.
Ttz la mleta mada ni ktk nyumbu, mshua akitoa amri ya kusimamisha bunge ili waende lockdown Atakuwa wa kwanza kupongeza hapa
Kuna wanaokosa posho vs wanaokula ruzukuKuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Hivi mnafikiri shuguli zote za serikali zikisimama mtaishije, watu wote ni sawa, wanajeshi,polisi,wabunge, manes na madaktar, wahasibu, wauza vyakula sokoni wote ni binadamu. Wakisitisha shughuli zao wote wajifungie carantin wewe hapo ambaye unashangilia ujinga utarudi kuomba PO hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga kweli we jamaa pale ni bajeti au poso......Bajeti aijawau kua muimu kuliko uhai.Pamoja na hayo hakuna mwanaccm anayewatetea watz wao wanatetea serikali na vyeo tuuu..
When you say no one in the party is interested in the party policies you look to be far from your senses.Don't lie to yourself, no one in CDM is interested in part's policies or whatever they are just for theirs stomach and other interest...even chairman Mbowe has a price tag.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapanic: hakuna anaeshangilia maafa.Hivi mnafikiri shuguli zote za serikali zikisimama mtaishije, watu wote ni sawa, wanajeshi,polisi,wabunge, manes na madaktar, wahasibu, wauza vyakula sokoni wote ni binadamu. Wakisitisha shughuli zao wote wajifungie carantin wewe hapo ambaye unashangilia ujinga utarudi kuomba PO hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Dodoma ni Tanzania, na akina mbowe wako dodoma.Chato ipo Tanzania
Ule wa serikali za mitaa mliobaka wenyewe utauitaje. Na zile Fake By Elections utaziitaje. Unafiki ni dhambi mbaya sana.Ule haukuwa Uchaguzi, Mbowe aliwatishia maisha kina Sumaye ili yeye aspate mpinzani
Ahaha tulimwambia Mbowe aache maamuzi ya kibabe ona sasa, chama kinajifia
Tangu lini umetoka CCm na kuwa mshauri wa CDM?
Tangu lini muuaji akashauri namna nzuri ya kuishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hapo wanatakiwa kuchangia chama milioni mbili kila mwezi,mwenye hazina leo kafyeka posho zao zoteMy take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambarat
Bogus. Vyombo vya dola vinasubiri nini kumkabili mtu hatari.Sumaye aliambiwa na Mbowe sumu haionjwi ni wazi Mbowe ni mtu hatari