Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Mbowe anachoweza ni udkteta tu, hana ushauri mzuri
Ni mawazo finyu. Yeye kwa akili yake anaamini lockdown ndiyo mwarobaini ya janga hili, kitu ambacho si kweli. Hata huko kwa wakubwa wake duniani haiko hivyo:

Kina Lema wanamkoromea Magufuli wakifika kwa Mbowe wanajificha chini ya meza [emoji3]
Kamanda Dj kazi yake kuamlisha tu kama jeshini hamna kuhoji ni utekelezaji tu.

Kwaiyo CDM haina tofauti na kambi ya jeshi
 
Wakati utaongea, Chadema inaangamia
Propaganda ambazo hazitimii ni sawa na mtu kujitekenya mwenyewe. Wewe propaganda huziwezi. Muombe kigogo muongozo maana 99% ya asemacho ni kweli, wewe unaendeshwa na mihemko ili buku 7 iingie. Jaribu hata kuwa realistic japo hata kwa 2% kwenye kazi zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama fukuto na mkanganyiko uko ziziem. Kwa hili wamepigwa bao. Watz wako mil 50, kati ya waliofariki 16 watatu ni wabunge, na inasemekana kuwa kuna wabunge wengine kama 3 wanaendelea kupata matibabu. Utaona hapo kiasilimia jinsi gn ugonjwa umeingia ndani ya bunge. Yaani robo ya wathiikiri ya watz ni wabunge.

Ttz la mleta mada ni ktk nyumbu, mshua akitoa amri ya kusimamisha bunge ili waende lockdown Atakuwa wa kwanza kupongeza hapa
Hivi mnafikiri shuguli zote za serikali zikisimama mtaishije, watu wote ni sawa, wanajeshi,polisi,wabunge, manes na madaktar, wahasibu, wauza vyakula sokoni wote ni binadamu. Wakisitisha shughuli zao wote wajifungie carantin wewe hapo ambaye unashangilia ujinga utarudi kuomba PO hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga kweli we jamaa pale ni bajeti au poso......Bajeti aijawau kua muimu kuliko uhai.Pamoja na hayo hakuna mwanaccm anayewatetea watz wao wanatetea serikali na vyeo tuuu..
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Kuna wanaokosa posho vs wanaokula ruzuku
 
Hao ni wabunge wa Chadema Mkuu wanatuhamasisha tukae Ndani ila wao wanamishara mikubwa
Hivi mnafikiri shuguli zote za serikali zikisimama mtaishije, watu wote ni sawa, wanajeshi,polisi,wabunge, manes na madaktar, wahasibu, wauza vyakula sokoni wote ni binadamu. Wakisitisha shughuli zao wote wajifungie carantin wewe hapo ambaye unashangilia ujinga utarudi kuomba PO hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wa Chadema wanatia huruma

Mbowe anawakata posho kwenye mshahara
Bado amewazuia wasihudhurie vikao vya bunge
Huu ni zaidi ya udkteta
Kuna wanaokosa posho vs wanaokula ruzuku
 
Mkuu katika hili tukibali Mbowe amekosea sana

Anafanya maamuzi usiku, wabunge wanavaa suti asubuhi wanaambiwa Hakuna kwenda bungeni ! Hii haikubaliki
Jinga kweli we jamaa pale ni bajeti au poso......Bajeti aijawau kua muimu kuliko uhai.Pamoja na hayo hakuna mwanaccm anayewatetea watz wao wanatetea serikali na vyeo tuuu..
 
Don't lie to yourself, no one in CDM is interested in part's policies or whatever they are just for theirs stomach and other interest...even chairman Mbowe has a price tag.

Sent using Jamii Forums mobile app
When you say no one in the party is interested in the party policies you look to be far from your senses.

I believe so because ever since your party chairman predicted in early 2016 the demise of the opposition parties before 2020 Chadema included, his fake prophecy has failed to pass.

If all members of Chadema were indeed dissatisfied with the party policies as you're trying to deceive, then obviously, only Mbowe would have remained in the party today.

Your party chairman and his henchmen have been working round the clock to decimate the opposition parties something that has massively compromised their development strategy and hence resulted into the country's economic retrogression.

Chadema opposition party is alive and well and despite the government's harassment and persecution of its members and sympathizers the party will overcome all this hurdles and will continue to amass the countless number of members throughout the country.

The persecution and oppression will only help to strengthen their resolve to further continue to back the party they see as the only hope for their total emancipation.
 
Hivi mnafikiri shuguli zote za serikali zikisimama mtaishije, watu wote ni sawa, wanajeshi,polisi,wabunge, manes na madaktar, wahasibu, wauza vyakula sokoni wote ni binadamu. Wakisitisha shughuli zao wote wajifungie carantin wewe hapo ambaye unashangilia ujinga utarudi kuomba PO hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapanic: hakuna anaeshangilia maafa.
 
Ule haukuwa Uchaguzi, Mbowe aliwatishia maisha kina Sumaye ili yeye aspate mpinzani
Ule wa serikali za mitaa mliobaka wenyewe utauitaje. Na zile Fake By Elections utaziitaje. Unafiki ni dhambi mbaya sana.
 
Sumaye aliambiwa na Mbowe sumu haionjwi ni wazi Mbowe ni mtu hatari
Ule wa serikali za mitaa mliobaka wenyewe utauitaje. Na zile Fake By Elections utaziitaje. Unafiki ni dhambi mbaya sana.
 
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambarat
Bado hapo wanatakiwa kuchangia chama milioni mbili kila mwezi,mwenye hazina leo kafyeka posho zao zote
 
Back
Top Bottom