Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbooe anapewa hela 500000 na 1m na kila mbunge. Hata asipohudhuria vikao Hana anachokosa. Wabunge wa cdm wakigoma kumhonga atabadika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wa kumpangia DJ chama ni mali yake ni Kama Sacco's tu yake hakuna wakuhoji ukienda kinyume na matakwa yake kufukuzwa uwanachama Kuna kuhusu ukiwa na bahati anakutenga Kama selasini
Wabunge ni watu wazima, viongozi walioaminiwa na wananchi, wakapewa dhamana ya kuwawakilisha kwenye chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali, wanapaswa kuwa na maamuzi binafsi ya mfano wa kuigwa walio wachaguwa.
Mbowe, kama Mbunge na KUB, na M/Kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, angepaswa kutumia madaraka hayo kuwasilisha hoja yake hiyo bungeni, badala ya kutoa maagizo kupitia vyombo vya habari.
Kwa agizo hilo na njia aliyoitumia, Mtukufu Mbowe ameonesha dharau ya wazi kwa viongozi wenzake, Bunge, Wanachama wa CHADEMA, wapiga kura, na Watanzania wote kwa ujumla. Mbowe, pia ameonesha makucha yake ya udikteta. Yumkini ndiyo maana viongozi wanahama chama CHAKE.
Mtukufu Mbowe, anathibitisha kuwa mtu hatari kwa amani katika Taifa. Kauli na matendo yake ni wazi yanahusika, pasipo shaka sasa, na matukio mbalimbali ya uhalifu ndani ya chama CHAKE km kupotea, kupigwa risasi na hata la maandamano haramu yaliyosababisha kifo cha Akwilina.
Selasini, Mb, wakati akitangaza kukihama chama cha Mtukufu Mbowe amedokeza machache tu ya kumhusu. Tutegemee mengi machafu na maovu ya kutisha kutokea ndani ya CHADEMA na jamii, kwenye uenyekiti wa Mtukufu Mbowe.
Usihangaike kujieleza. Kuna watu wanadhani Mbowe ni mpigania uhuru na haki, bila kujua kwamba naye anaigiza kuwa ni rais wa nchi isiyojulikana. Hajitofautishi na rais wa nchi.Mimi ni mleta Habari
Bora ataungesema kinyesi Cha binadamu Ni Tina ya asili ungeeleweka. Chadema wako strong Kama polisi tu ndio wsmeshindwa kuisambaratisha utakuwa hizi propaganda
Sent using Jamii Forums mobile app
UmemalizaUsihangaike kujieleza. Kuna watu wanadhani Mbowe ni mpigania uhuru na haki, bila kujua kwamba naye anaigiza kuwa ni rais wa nchi isiyojulikana. Hajitofautishi na rais wa nchi.
Sifahamu undani wa maelezo yako lakini kwa kuangalia tabia ya Mbowe, siyo ajabu kwamba anaamua bila kuwashirikisha wenzake. Tatizo anajiona kama anawamiliki watu ndani ya chama, wakati chama kimeishiwa pull. Hata Katibu wake simsikii tena kelele zake kama alivyokuwa anabwabwaja kabla ya kuteuliwa. Ni ishara ya kujionea ukatibu bandia.
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Wewe mpumbavu sio kila kitu ulete siasa.
Wabunge ni binadamu kama ulivyo wewe,wana haki ya kuishi na usalama wa afya zao.
Hivi Nkamia nae ni Chadema?Au hukusikia maoni yake?
Ndassa na Mahiga ni Chadema?Au hukusikia vifo vyao?
Bado huelewi?Au kwakuwa wewe kazi yako ni kujificha nyuma ya keyboard ukiwa na mumeo anakutomasatomasa hapo kitandani kwenu basi ile raha ya kuguswaguswa unapost chochote tu kulingana na mihemko unayopata hapo?
Binadamu wenzio wako hatarini pale bungeni,sio Chadema sio CCM,ni binadamu wale wote,so acha kuandika upumbavu humu,shenzy type!
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Kelele au hoja? Unataka kusema Mnyika anafanana na Kibajaji? Ukatibu Bandia kivipi?Hata Katibu wake simsikii tena kelele zake kama alivyokuwa anabwabwaja kabla ya kuteuliwa. Ni ishara ya kujionea ukatibu bandia.
Hizo pesa wanazong'ang'ania za Vikao vya BUNGE watakufa wataziacha. Tulikuja duniani bila kitu hivi vitu tutaviacha hapahapa duniani. Mbaya zaidi, kwa hali ya sasa ukifa hata watoto wako watapata tabu sana kupata stahiki zako. UROHO WA PESA UTAWATOKEA PUANI.
Usihangaike kujieleza. Kuna watu wanadhani Mbowe ni mpigania uhuru na haki, bila kujua kwamba naye anaigiza kuwa ni rais wa nchi isiyojulikana. Hajitofautishi na rais wa nchi.
Sifahamu undani wa maelezo yako lakini kwa kuangalia tabia ya Mbowe, siyo ajabu kwamba anaamua bila kuwashirikisha wenzake. Tatizo anajiona kama anawamiliki watu ndani ya chama, wakati chama kimeishiwa pull. Hata Katibu wake simsikii tena kelele zake kama alivyokuwa anabwabwaja kabla ya kuteuliwa. Ni ishara ya kujionea ukatibu bandia.
Kwa ivo kumbe Mbowe anatisha sana??Mnyika alishaichoka Chadema ila anamuogopa Mbowe kuhama
Huu muda wako ambao huwa unaupoteza mara kwa mara Kuijadili CHADEMA ungeutumia Kumshauri Mwenyekiti wako Taifa atoke upesi huko Mafichoni aje katika Mapambano ya wazi dhidi ya Janga hili HATARI la COVID-19 ningekuona wa maana mno. Na kuhusu Mgawanyiko kwa taarifa yako tu tokea Historia ya CCM hakuna Kipindi ambacho CCM imegawanyika Vipande Vipande huku Wanachama hasa Waandamizi wakihujumiana na Mwenyekiti wake Taifa akichukiwa na Wanachama wake kama hii CCM iliyo chini yake hasa ya kuanzia mwaka 2016 hadi sasa na pengine hata ile ya 2020 hadi 2025. Fanya Utafiti uamini.
Serikali "ya CCM" haiwezi kumsaidia Mnyika dhidi ya Umafia wa Mbowe?Mbowe ni mafia mnyika anahofia usalama wake
Wewe huijui Ccm au labda ni mtoto wa juzi