Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Mimi nahisi Chadema wameteleza pakubwa kipindi hichi, ccm walikuwa hoi kipindi hiki bungeni kwa nondo kutoka upinzani na kuna wakati mtazamo wangu ulikuwa unaonyesha ccm wanapoteana na nilifikiri chadema wangetumia hili gape la corona kumtoa jamaa magogoni, hoja za upinzani pale bungeni zilikuwa zina hit sana kwenye hisia za watu juu ya weakness kubwa sana kwa serikali kwenye hili gonjwa lakini kama wameamua kutoka bungeni hawa ccm watarudi kivyao na kuonyesha kama nchini hakuna tatizo kubwa, Chadema walipaswa kuutumia huu mwanya hata kama bunge sio live lakini kinachotoka watu wanakithamini kwa asilimia 100%. Chadema wamekosea