Uchaguzi 2020 Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua upinzani kutatokea vita. Anatakiwa kuitwa kwenye Kamati ya Maadili

Uchaguzi 2020 Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua upinzani kutatokea vita. Anatakiwa kuitwa kwenye Kamati ya Maadili

Kutopeleka maendeleo kwa wapinzani !!! Ahojiwe pia hiyo sio demokrasia ambayo ndio ilimpitisha yeye !! Damu TL ikiyomwagika ni sawa iliyomwagika kuchinja wanyawa kabla Uhuru ....huko Bagamoyo !! Haiendi bure
Analeta ubaguzi wa waziwazi kabisa. Analigawa taifa. Ahojiwe kwa nini anabagua kwa misingi ya chama?
 
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
Hio haiwezi kutokea, kinyago akichonge mwenyewe na bado kimtishe
Ila wawe wakweli tu hiyo vita labda waianzishe wao wapinzani hawana silaha wala jeshi la polisi
 
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
Tume haiwezi kumuita kwani ipo mfukoni mwake, Ni Magufuli huyu anayesema kuwa Lissu katumwa na mabeberu, wakati form ya vkugombea kapewa na tume, na tume haijitambui kuwa Magufuli "anaitukana"
 
Hio haiwezi kutokea, kinyago akichonge mwenyewe na bado kimtishe
Ila wawe wakweli tu hiyo vita labda waianzishe wao wapinzani hawana silaha wala jeshi la polisi
Vita wao ndio watakaonzisha na si wapinzani ila wanapotosha kuwa wapinzani wakishika madaraka wataleta vita. Tume imuite imuhoji.
 
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
pia amekuwa akitoa vitisho kwa wapiga Kira,na zawadi zisizokuwa rasmi pamoja na ubaguzi wa kiitikadi kwenye maendeleo ya taifa.
 
pia amekuwa akitoa vitisho kwa wapiga Kira,na zawadi zisizokuwa rasmi pamoja na ubaguzi wa kiitikadi kwenye maendeleo ya taifa.
Kabisa mkuu. Haya yote anatakiwa ahojiwe na ayatolee maelezo ya kina. Anasababisha hofu kwa watanzania.
 
Msukuma Original,

Msukuma mwenzako hapotoshi labda sema sie wengine hatutishwi... wakatishiane wenyewe kwa wenyewe!!

Nasema Msukum mwenzako hapotoshi kwa sababu anafahamu CCM ni watu wa vita!!! Kila mwenye akili timamu anafahamu alieshinda uchaguzi HAWEZI kuanzisha vita kwa sababu HANA sababu ya kufanya hivyo!

Kinyume chake, historia inatukumbusha kwamba vita huanzishwa na walioshindwa vita! Kwa maana nyingine, huyo Mgombea anachomaanisha ni kwamba, Upinzani wakishinda wana-CCM katu HAWATAKUBALI matokeo na kwahiyo wataingia msituni na kuanzisha vita!!

Hapo utaona ni namna gani nchi imekuwa ikiongozwa na wahalifu ambao wanaapa wakishindwa uchaguzi watakachofanya ni kuingia vitani!!

Hivyo basi, lau kama msemo wa Sheria ni Msumemo ungekuwa una-apply bila kuangalia sura basi Mgombea huyo hakupaswa kuitwa na Tume bali ilitakiwa akamatwe na vyombo vya dola kwa hatua yake ya kuwaambia wafuasi wake kwamba wakishindwa uchaguzi basi wataingia msituni!

Ndugu wananchi, hivi kweli kuna tafsiri nyingine zaidi ya hiyo mtu anaposema "mkimchagua yule, basi nchi itaingia vitani"?
 
CHADEMA na mgombea wetu tutaendelea na kampeni kama kawaida!
Hakuna wa kutufungia sababu hatujavunja sheria ya uchaguzi!
Sanasana magufuli ndio anapaswa kufungiwa sababu amekuwa akitoa kauli nyingi za kipumbavu kama;

1 tukichagua upinzani hatoruhusu maendeleo kwa eneo hilo.

2 tukichagua upinzani atavunja hadi miradi iliyo tayari akauze skrepa.

3

4

5

....
 
Back
Top Bottom