NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
HATARIRI SANA MKUU HII LIGI NI YA AJABU SANA.Na yametokea kweli, mpira wa Tanzania una safari ndefu, na timu Kama iyo ndio inakwenda kucheza mechi za kimataifa sidhani Kama kule Kuna mbeleko ya aina yoyote, uwezo wako ndio unaamua mechi na sio vinginevyo, waamuzi Hawa wa Tanzania ni ngumu kupata nafasi michuano ya kimataifa ni aibu kubwa hii, goli la singida lilikuwa na offside Gani pale? Huu ni uchafuzi lakini aina haja ya kulalamika mwenzako akiweka jembe weka shoka na wengine wafuate nyayo ili kusudi twende sawa
REFA NDIYO MAN OF THE MATCHni kweli uliyosema yametimia
Pia usisahau goli la Singida fountain kukataliwa na offside ya Simba kuwa goliUsisahau Ile penat ya geita gold pale mwanza CCM kirumba msimu uliopita ajabu ngwenywa wa ngwenywa ajawai zungumzia
Waache wao wameanza na wengine watamaliza na tutaona mwisho wa msimu Nani atabeba ndio, hii michezo ya kuhonga marefa ili upate ushindi ni michezo ya kujimaliza wewe mwenyewe kiufundi kwa sababu unakwenda mechi za kimataifa na kule akuna mwamuzi atakubeba, utahukumiwa ipasavyo, angalia timu Kila mechi inaruhusu goli na wakati huo inategemea zaidi ibebwe na waamuzi kushinda mechi inategemea kimataifa itasogea wapi kwa stahili hii?HATARIRI SANA MKUU HII LIGI NI YA AJABU SANA.
Aibuuu"Walima Arizeti'
Ninachokubaliana na wewe ni goli la Singida kukataliwa bila sababu. Lakini goli la Simba ni halali pia. Mshika kibendera No.2 sijui katumia kanuni gani kukataa lile goli labda Kwa vile golini kulikuwa na beki na kipa Yuko mbele kidogo?Pia usisahau goli la Singida fountain kukataliwa na offside ya Simba kuwa goli
WANAKOSEA BBC NA WANAOMBA RADHI MIMI NANI NISIKOSEE??kaaahh ht kuandika Alizeti hujui
ASANTE SANA KWA KUKILI KUWA LILE NI GOLI HALALI KWA SINGIDA.Ninachokubaliana na wewe ni goli la Singida kukataliwa bila sababu. Lakini goli la Simba ni halali pia. Mshika kibendera No.2 sijui katumia kanuni gani kukataa lile goli labda Kwa vile golini kulikuwa na beki na kipa Yuko mbele kidogo?
NA NDIYO MAANA TIMU ZETU ZINAFELI SANA KIMA TAIFA.Waache wao wameanza na wengine watamaliza na tutaona mwisho wa msimu Nani atabeba ndio, hii michezo ya kuhonga marefa ili upate ushindi ni michezo ya kujimaliza wewe mwenyewe kiufundi kwa sababu unakwenda mechi za kimataifa na kule akuna mwamuzi atakubeba, utahukumiwa ipasavyo, angalia timu Kila mechi inaruhusu goli na wakati huo inategemea zaidi ibebwe na waamuzi kushinda mechi inategemea kimataifa itasogea wapi kwa stahili hii?
HUNA AKILI NA HUNA MARINDA.Nenda fifa kabwili fc
Ukiona Mtu anasema Ile ni offside kampime akili.ASANTE SANA KWA KUKILI KUWA LILE NI GOLI HALALI KWA SINGIDA.
UMEANGALIA MPIRA VIZURI AU UNAKUJA KUKOMENT TU HAPA.Bado hamjasema.
Kama mmewatuma wacheze rafu kuwatisha wachezaji tambueni mtakipata mnachokitafuta
SAWA ENDELEA KUWA MPENZI MTAZAMAJIMpaka umejua hivyo Basi huo ndio mchezo wenu
Pia Kuna nafas Simba alikua anaenda kufunga ajab mshika kibendera kaweka offside .Ninachokubaliana na wewe ni goli la Singida kukataliwa bila sababu. Lakini goli la Simba ni halali pia. Mshika kibendera No.2 sijui katumia kanuni gani kukataa lile goli labda Kwa vile golini kulikuwa na beki na kipa Yuko mbele kidogo?
Ni Alizeti broo...Acha makasirikiooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣inshort hujui kutofautisha Kati ya 'r'na 'l' shuleni ulijifunza ujinga?(kisemo Cha faizafoxy)WANAKOSEA BBC NA WANAOMBA RADHI MIMI NANI NISIKOSEE??
WEWE JUHA ACHA UJUAJI
SASA NENO "ht" NDIYO NIN?
TAHRA WEWE.
Bado hujasema.Waache wao wameanza na wengine watamaliza na tutaona mwisho wa msimu Nani atabeba ndio, hii michezo ya kuhonga marefa ili upate ushindi ni michezo ya kujimaliza wewe mwenyewe kiufundi kwa sababu unakwenda mechi za kimataifa na kule akuna mwamuzi atakubeba, utahukumiwa ipasavyo, angalia timu Kila mechi inaruhusu goli na wakati huo inategemea zaidi ibebwe na waamuzi kushinda mechi inategemea kimataifa itasogea wapi kwa stahili hii?
HUNA AKILI NA HUNA MARINDA [emoji41]Ni Alizeti broo...Acha makasirikiooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inshort hujui kutofautisha Kati ya 'r'na 'l' shuleni ulijifunza ujinga?(kisemo Cha faizafoxy)
Una stress na Simba kushinda pyeeeee