NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
HATARIRI SANA MKUU HII LIGI NI YA AJABU SANA.Na yametokea kweli, mpira wa Tanzania una safari ndefu, na timu Kama iyo ndio inakwenda kucheza mechi za kimataifa sidhani Kama kule Kuna mbeleko ya aina yoyote, uwezo wako ndio unaamua mechi na sio vinginevyo, waamuzi Hawa wa Tanzania ni ngumu kupata nafasi michuano ya kimataifa ni aibu kubwa hii, goli la singida lilikuwa na offside Gani pale? Huu ni uchafuzi lakini aina haja ya kulalamika mwenzako akiweka jembe weka shoka na wengine wafuate nyayo ili kusudi twende sawa