Kuna mikakati ya wazi imeandaliwa kuwahujumu Arizeti Fc kupitia mshika filimbi na kibendera ili Ayubu FC wapate pointi tatu

Na yametokea kweli, mpira wa Tanzania una safari ndefu, na timu Kama iyo ndio inakwenda kucheza mechi za kimataifa sidhani Kama kule Kuna mbeleko ya aina yoyote, uwezo wako ndio unaamua mechi na sio vinginevyo, waamuzi Hawa wa Tanzania ni ngumu kupata nafasi michuano ya kimataifa ni aibu kubwa hii, goli la singida lilikuwa na offside Gani pale? Huu ni uchafuzi lakini aina haja ya kulalamika mwenzako akiweka jembe weka shoka na wengine wafuate nyayo ili kusudi twende sawa
HATARIRI SANA MKUU HII LIGI NI YA AJABU SANA.
 
Usisahau Ile penat ya geita gold pale mwanza CCM kirumba msimu uliopita ajabu ngwenywa wa ngwenywa ajawai zungumzia
Pia usisahau goli la Singida fountain kukataliwa na offside ya Simba kuwa goli
 
HATARIRI SANA MKUU HII LIGI NI YA AJABU SANA.
Waache wao wameanza na wengine watamaliza na tutaona mwisho wa msimu Nani atabeba ndio, hii michezo ya kuhonga marefa ili upate ushindi ni michezo ya kujimaliza wewe mwenyewe kiufundi kwa sababu unakwenda mechi za kimataifa na kule akuna mwamuzi atakubeba, utahukumiwa ipasavyo, angalia timu Kila mechi inaruhusu goli na wakati huo inategemea zaidi ibebwe na waamuzi kushinda mechi inategemea kimataifa itasogea wapi kwa stahili hii?
 
Pia usisahau goli la Singida fountain kukataliwa na offside ya Simba kuwa goli
Ninachokubaliana na wewe ni goli la Singida kukataliwa bila sababu. Lakini goli la Simba ni halali pia. Mshika kibendera No.2 sijui katumia kanuni gani kukataa lile goli labda Kwa vile golini kulikuwa na beki na kipa Yuko mbele kidogo?
 
ASANTE SANA KWA KUKILI KUWA LILE NI GOLI HALALI KWA SINGIDA.
 
Waache wao wameanza na wengine watamaliza na tutaona mwisho wa msimu Nani atabeba ndio, hii michezo ya kuhonga marefa ili upate ushindi ni michezo ya kujimaliza wewe mwenyewe kiufundi kwa sababu unakwenda mechi za kimataifa na kule akuna mwamuzi atakubeba, utahukumiwa ipasavyo, angalia timu Kila mechi inaruhusu goli na wakati huo inategemea zaidi ibebwe na waamuzi kushinda mechi inategemea kimataifa itasogea wapi kwa stahili hii?
NA NDIYO MAANA TIMU ZETU ZINAFELI SANA KIMA TAIFA.
 
Ninachokubaliana na wewe ni goli la Singida kukataliwa bila sababu. Lakini goli la Simba ni halali pia. Mshika kibendera No.2 sijui katumia kanuni gani kukataa lile goli labda Kwa vile golini kulikuwa na beki na kipa Yuko mbele kidogo?
Pia Kuna nafas Simba alikua anaenda kufunga ajab mshika kibendera kaweka offside .
Hii game kihalali ilipaswa iishe Singida 2 Simba 3 bado mnyama angeshinda matukio yote yangeenda kiuhalal
 
WANAKOSEA BBC NA WANAOMBA RADHI MIMI NANI NISIKOSEE??

WEWE JUHA ACHA UJUAJI

SASA NENO "ht" NDIYO NIN?

TAHRA WEWE.
Ni Alizeti broo...Acha makasirikiooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣inshort hujui kutofautisha Kati ya 'r'na 'l' shuleni ulijifunza ujinga?(kisemo Cha faizafoxy)
Una stress na Simba kushinda pyeeeee
 
Waache wao wameanza na wengine watamaliza na tutaona mwisho wa msimu Nani atabeba ndio, hii michezo ya kuhonga marefa ili upate ushindi ni michezo ya kujimaliza wewe mwenyewe kiufundi kwa sababu unakwenda mechi za kimataifa na kule akuna mwamuzi atakubeba, utahukumiwa ipasavyo, angalia timu Kila mechi inaruhusu goli na wakati huo inategemea zaidi ibebwe na waamuzi kushinda mechi inategemea kimataifa itasogea wapi kwa stahili hii?
Bado hujasema.
Leo kapigwa singida utopolo mnakata viuno
 
Ni Alizeti broo...Acha makasirikiooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inshort hujui kutofautisha Kati ya 'r'na 'l' shuleni ulijifunza ujinga?(kisemo Cha faizafoxy)
Una stress na Simba kushinda pyeeeee
HUNA AKILI NA HUNA MARINDA [emoji41]
 
Back
Top Bottom