Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
kwani wao hawafanyi vitu vya kiafrika ?Tatizo lipo hapo wewe unawaza kufanya mtihani kukariri kitu alichogundua mzungu ili ufauli kumzidi mzungu, wenzio hawasomi kukariri bali kupambanua ndiyo maana kina Bill gates, Zuckerberg walipofika chuo miaka michache wakaachana na chuo wakagundua vitu vyao ambavyo dunia nzima tuna itumia. Tatizo sisi tunasoma kukariri vitu walivyogundua wao ili tufaulu mitihani ndiyo maana graduates wetu wengi wenye GPA ya 4+ hawana chochote walichogundua vichwa vimejaa kukariri tu ndiyo maana Ma PhD wetu wanakimbilia bungeni kula posho kwa mgongo wa PhD, badala wao ndiyo watumike mtaani kutengeneza ma Technology wao ndiyo hawajui wafanya lolote watoboe zaidi ya kutumia phd zao kuuza sera wapate ubunge.
Imagine babu zetu walikuwa wanatengeneza mikuki na mapanga kwa moto leo hii hata wembe hatujui kutengenezaBabu zetu waliunda majembe ya mkono , unalitumia kwa miaka mingi tuu wakapigwa marufuku na wakoloni kuyatengeneza, sasa tuna chuma Liganga tuanze na sisi kutengeneza majembe , tutengeneze vigae vya udongo kigae cha Tanzania ni bora sana kinakaa miaka 100 vijana msihangaike kutafuta bati la msouth !
Ndio ulivyodanganywa? Mbona historia aliyoandika mzungu kuhusu mwafrika anakiri kukuta ma iron smith wakifua chuma?Apart from inventing cooking pots, Africans never discovered anything.
Kutengeneza sufuria, uhunzi wenyewe ulikuwa primitive sana.Ndio ulivyodanganywa? Mbona historia aliyoandika mzungu kuhusu mwafrika anakiri kukuta ma iron smith wakifua chuma?
Anasubiri ajira za serikalini!Pengine mtoa mada anaitwa msomi mtaani kwao
Kuwachezea ngoma wazungu wakija mbuga za wanyama na airportHivi watu weusi tuna mchango gani positive hapa duniani?