Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

Ukiwa mweusi tayari hasara umeshakula kichwani mwako TRUST ME
 
ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race nyingine duniani ina hamu ya kuona waafrika tunaishi duniani
Ndiyo maana nilimshangaa sana jini jiwe kipindi cha udikteta wake aliposema wazungu wanaleta chanjo ili watuue waafrika. Mjinga sana yule mbwa jiwe
 
Unajuaje kuna elimu hapa na si mafafa tupu?

Mimi naona mafafa tupu ndiyo maana sina hata mzuka wa kufuatilia. Wewe ndiye una wajibu wa kuweka link hapa.

Na inaonekana link wewe mwenyewe huna unabumbabumba tu hapa.
Hujaenda kuona, ila tayari umeona ni mafafa. Kuona bila kuona ni aina ya utaahira pia. Tuishie hapa.
 
Kwa sasa wazungu walipofikia kitekinolojia unaweza kumlinganisha mwafrika na kuku au bata ambao wapo bandani wanasubiri bwana awaletee kila kitu hatuna faida better watuue tu.
 
Nashangaa saana kusikia mtu mweusi hana akili all genius wanabebwa kupelekwa nje wakifanya gunduzi wanajitangaza wao.
Africa shida ni viongozi wetu siku wakibadil mtaala wa elimu tutafika mbali saana
 
Hujanipa link, kwa sababu wewe mwenyewe huna.
Ni wapi nilisema ninayo? Nimekuelekeza ilipo kwa mujibu wa bibi mtangazaji.., mimi kuwa nayo au kutokuwa nayo si zuio la wewe mwenye shaka kwenda kujiridhisha.
 
Ni wapi nilisema ninayo? Nimekuelekeza ilipo kwa mujibu wa bibi mtangazaji.., mimi kuwa nayo au kutokuwa nayo si zuio la wewe mwenye shaka kwenda kujiridhisha.
Kwa hiyo unatetea jambo ambalo hata hujalipitia wewe mwenyewe. That's what I thought.
 
Kwa hiyo unatetea jambo ambalo hata hujalipitia wewe mwenyewe. That's what I thought.
Kutokuwa na link haimaanishi sijapitia, link ipo nilipokuelekeza ilipo, ifuate usome kama mimi nilivyoifuata na kusoma..
 
Kama vipi tupewe mtihani nifanye na mzungu, akifeli afe yeye
Tatizo lipo hapo wewe unawaza kufanya mtihani kukariri kitu alichogundua mzungu ili ufauli kumzidi mzungu, wenzio hawasomi kukariri bali kupambanua ndiyo maana kina Bill gates, Zuckerberg walipofika chuo miaka michache wakaachana na chuo wakagundua vitu vyao ambavyo dunia nzima tuna itumia. Tatizo sisi tunasoma kukariri vitu walivyogundua wao ili tufaulu mitihani ndiyo maana graduates wetu wengi wenye GPA ya 4+ hawana chochote walichogundua vichwa vimejaa kukariri tu ndiyo maana Ma PhD wetu wanakimbilia bungeni kula posho kwa mgongo wa PhD, badala wao ndiyo watumike mtaani kutengeneza ma Technology wao ndiyo hawajui wafanya lolote watoboe zaidi ya kutumia phd zao kuuza sera wapate ubunge.
 
DNA inahusikaje?.
Kweli siyo DNA bali ni IQ. Kuna watu wamekuwa busy kutuletea vyakula vya msaada hapa na chanjo mbalimbali za msaada ila behind the scene kuna ajenda nyingi sana za kututhibiti kwenye reproduction na IQ. Tunapokea chanjo na mivyakula ambayo ni genetical modified mwisho wa siku tunakuwa IQ ndogo na tusipokuwa makini tutajikuta na lowest childbirth.
 
Kwa chaguzi hizi zinazolawitiwa na sisiem, na wasiojulikana wa sisiem wanavyowaondoa wenzao ni bora tuondolewe wote tu tuondoe laana duniani.
 
Back
Top Bottom