Kuna milio naisikia kama ya mabomu/risasi hapa Kigamboni muda huu

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Wadau kama heading inavyojieleza muda huu Kigamboni mnadani nimeshtushwa kutoka usungizini na milio mikubwa kama minne sijui kuwa risasi au mabomu.

Mdau mwenye info yoyote aiweke hapa maana hadi usingizi umekata.
 
Wadau kama heading inavyojieleza muda huu kigamboni mnadani nimeshtushwa kutoka usungizini na milio mikubwa kama minne sijui kuwa risasi au mabomu.

Isije kua ni matank ya mafuta na Gas yanalipuka huko Kigamboni kwenu!!??
 
Wadau kama heading inavyojieleza muda huu kigamboni mnadani nimeshtushwa kutoka usungizini na milio mikubwa kama minne sijui kuwa risasi au mabomu.

Mdau mwenye info yoyote aiweke hapa maana hadi usingizi umekata.
Siku nyingine ukisikia milipuko huwe unatoka nje ujiridhishe kinachoendelea yawezekana majirani wenzio wanavamiwa na wanaitaji msada wako.
 
Mkuu vipi? Umeamka salama? Ilikuwa milio ya nini?
 
Siku nyingine ukisikia milipuko huwe unatoka nje ujiridhishe kinachoendelea yawezekana majirani wenzio wanavamiwa na wanaitaji msada wako.
Jidanganye siku zoteee mazingira ya Tish Tash mtoa msaada ndie anae umia.
Ni kusubiria kidogo ndipo unaenda hata POLISI wetu huwa wanatumia hii falsafa ya ku delay kwenye MATUKIO.
 
Nilishapoteza ndugu kwa ujinga huu wa kutoka nje kwamba jirani anavamiwa, alisikia kelele kutoka nje akala shaba
Kifo hakikimbiwi.Mengine ni mbwembwe tu za binadamu.ila kikija kimekuja.
 
Back
Top Bottom