DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hizo Imani tu ukizipa Nguvu na zenyewe zinakupa NguvuKabisa ila angalau chuo cha DUCE kimepunguza makali
Kwahiyo ndo unakoishi huko!??Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne!
Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.
Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)!
Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao!
Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
Japokuwa sina proof kama ni laana au lahDodoma kuna mtaa unaitwa makuyuni
Hata Moshi kule maeneo ya Pasua kuna huo mtaa wa dhambi nako ni balaa.Meatu kuna mtaa wa dhambi
Mi nikisikia njoro sijui kalimani daaah sipendi hii mitaa.Hata Moshi kule maeneo ya Pasua kuna huo mtaa wa dhambi nako ni balaa.
Umasini sio laana wewe hapo ulipo ni masikini ndio kusema umelaniwa?nusu ya watanzania ni masikini robo fukara matajiri awafiki hata robo ninacho kiona kwako ujui masikini ni mtu wa aina gani hata tajiri ujui wala laana ujui maana yakeNdo laana yenyewe!
Watu wengi wanalopoka bila kujua maana umasikini sio laana aiwezekani watu wote wawe matajiriKipind nkiwa mdogo kijijini kwetu hamna aliekua na gari ila watu walikua wanamiliki ng'ombe nyingi wanahama nao, mara Moro goro, wengine Manyara park.
Watoto walikua hawamalizi shule wanachunga wanaoa na kuolewa mapema [emoji848]nawaza je hyo ni laaana?
Saiv nikienda pale pale kijijini umeme upo, maji ya kutosha, bara bara zipo watu wamejenga sana na vyombo vya usafiri vipo[emoji848][emoji848][emoji848]sasa nawaza kama ile ilikua laaana imemalizwa na nn?
Ndio kusema Mwananyamala hakuna watu walioajiriwa hakuna watu wanao jishugulishaKama umeishia Dar mitaa ya Mwananyamala, Tandale na Temeke nadhani utamuelewa mtoa mada.
#YNWA
Unajua nini kuhusu laana? Hizi tabia mbaya/chafu ndo viashiria vya laana vinavyopelekea umasikini wa kaya, mtaa hadi taifa! Unafikiri kwanini taifa ni masikini? Ni kwasababu viongozi tuliowaamini wanakwiba na kujifungamanisha na magenge ya mabeberu kukwiba rasilimali za nchi ili wamudu gharama za ulevi, vimada na nyumba ndogo! Hawa viongozi wakubwa wana nyumba ndogo walizozizalisha nje ya nchi na wanazihudumia kwa hela yetu! Hiii ni laana!Hizo Imani tu ukizipa Nguvu na zenyewe zinakupa Nguvu
Mtu kama haunywi Pombe ,bangi wala sigara na unajitenga na uasherati Uzinzi hata Kama unaendesha bodaboda tu lazima ufanikiwe hatua kubwa SANA.
Watu wanwekeza katika Uzinzi ,pombe Umalaya then wakikwama wanasema laana au kurogwaa .
Hii mitaa ya Uswahilini Mimi ndo naishi wapo wapemba wanamaisha. Safi Sana na watu waswahili wapo vizuri ila Hawa wanawake na vijana wanaoendekeza tabia mbaya ndo Maisha yanawatoa mchezoni Mapema.
Umasikini ni LAANA! Kama wewe ni masikini umelaaniwa! Fullstop! Tambua hilo upambane na laana mdogo mdogo utaanza kufunguka! Kuna matajiri wa pesa lakini wanalaana kali! Ndani ya familia hapakosekani kichaa, tahahira, kilema, zezeta, magonjwa mazito wanayorithishana, vifo vya ghafla na kushtukiza, misukule., Hata kama umezaliwa na huko ndani ya familia hiyo huna huhakika wa maisha yako au watoto wako. Mabinti mnaoolewa na kupenda kuolewa na familia zenye ukwasi lakini zimebeba laana usishangae umeolewa lakini kumbe umeozeshwa kwa mashetani ya familia hiyo na unaweza kuuwawa kimisukule muda wowote! Hivi haya mambo mbona yako wazi katika jamii tunazoishi???Umasini sio laana wewe hapo ulipo ni masikini ndio kusema umelaniwa?nusu ya watanzania ni masikini robo fukara matajiri awafiki hata robo ninacho kiona kwako ujui masikini ni mtu wa aina gani hata tajiri ujui wala laana ujui maana yake
Uongo wa kudamganywa na wachungaji heti umadiki laana hali ya kuwa makanisani wamejaa masikini tu hata hao wachungaji kwa madini na uko wao kazi kunikweza tuUkiangalia kwa jicho la 3.....utaona mguu wa Yesu haukupita mahala hapo.
Hebu tupe ramani ya kufikia Mtaa huo. Nahisi unaandika tu pasi na uhakika wa unachokiandika.Dodoma kuna mtaa unaitwa makuyuni
Kufanikiwa maisha kama ni maalifa iweje wewe ujafanikiwa mpaka sasa?au huna maalifa[emoji14][emoji14]Swala la MAFANIKIO linahitaji Mambo Mengi Sana na sio laana au baraka
Mitaa ya Uswahilini ni ngumu kufanikiwa au kufika hatua kubwa ya MAFANIKIO kutokana na uhaba Mdogo wa MAARIFA na kutokuwa na ile inaitwa money literacy.
Hiyo hiyo Sehemu unayoona huwezi ndo WATU wengine wamefanikiwa.
Unapo ongelea umasikini nini maanake au mtu masikini nitamjuaje?Umasikini na ujinga ni hatari sana kuanzia ngazi ya kaya, ukoo, mtaa, kijiji, kata, tarafa hadi taifa.
Kwa leo ni hayo tu
Wanakusanya huko makanisani na kudanganyana kuwa umasikini laana hali ya kuwa hao walijazana makanisani wote masikini tu na mafukara tatizo awajui maana ya maneno haya masini laanaNi life style tu na mifumo hakuna Cha laana.Kisarawe inatoa mawaziri nchi hii toka uhuru itakuwaje ilaaniwe?