Kuna mitaa imelaaniwa

Kuna mitaa imelaaniwa

Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne!

Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.

Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)!

Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao!

Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
Maeneo yenye waislam wengi, walikopita Waarabu.
 
Hivyo mitaa mara nyingi wanajivumia uchawi
 
Kipind nkiwa mdogo kijijini kwetu hamna aliekua na gari ila watu walikua wanamiliki ng'ombe nyingi wanahama nao, mara Moro goro, wengine Manyara park.

Watoto walikua hawamalizi shule wanachunga wanaoa na kuolewa mapema [emoji848]nawaza je hyo ni laaana?

Saiv nikienda pale pale kijijini umeme upo, maji ya kutosha, bara bara zipo watu wamejenga sana na vyombo vya usafiri vipo[emoji848][emoji848][emoji848]sasa nawaza kama ile ilikua laaana imemalizwa na nn?
Na serikali makini ya CCM
 
Nimeishi mwananyamala kwa kopa, keko machungwa/magurumbasi, kawe ukwamani, kawe mzimuni na sasa hivi Niko kibanda maiti naunga mkono hoja.
Mkuu umefika chekereni nyuma ya bar ya mrutu... Ni kwere pande zile
Hahaha, napajua tu kwny Bar ya Mrutu pale chekereni kutokea Moshono kuelekea barabara ya East Africa
 
Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya umasikini na uislamu! Ebu angalia mitaa ambayo wakaaji wake wengi ni waislamu na angalia hali ya huo mtaa au mji!!! ni shida!
Mbona Dar es Salaam mpaka wakautolea jina kuna waislamu na matajiri wengi Nchi hii ni waislamu. Hizi chuki za kidini ndio zinawapofusha. Nenda Rombo kuna umaskini wa kutisha na vijana wengi ni walevi au wavuta bangi nao ni waislamu?Tembelea Singida vijijini kwa kina Mwigulu na Lisu uone umaskini wa kutisha.Wewe kwenu wapi kusiko ishi maskini?
 
Keko magurumbasi kule bondeni , maisha ya kule yanafurahisha usione ajabu mtu kubisha hodi abaomba umsaidie kijiko kimoja cha sukari .

Wao wanakula ugali na kichwa cha kuku walichonunua kwa bibi mzuri .

Wanachuo wa chuo cha DUCE wanapigwa vizinga na wanakeko mpaka boom haliwatoshi lakini finally umbea maeneo hayo ni tabu tupu hata ulete mchuchu usiku wa manane asubuhi taarifa wanazo .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Namba yako ya simu hawana ila maisha yako yote wanayajua mpaka muda unapoanza kukoroma wanaujua [emoji23]

Ila ugali kwa kichwa kuku mbona hiyo kali sijawahi sikia wala kuona mmmm
 
Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne!

Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.

Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)!

Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao!

Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
Kwa maneno yako a mikoa ulioitaja je unatuhakikishia umewazidi kipato hao wote wakwe ye hiyo mikoa?
 
Namba yako ya simu hawana ila maisha yako yote wanayajua mpaka muda unapoanza kukoroma wanaujua [emoji23]

Ila ugali kwa kichwa kuku mbona hiyo kali sijawahi sikia wala kuona mmmm
Bro tembea uone , ukipata time tembelea ile keko iliyo nyuma ya gereza almaarufu keko bondeni huko hawaoni ajabu mtu unachinja kuku mtu akuombe kichwa ili akale na ugali ni kawaida sana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kipind nkiwa mdogo kijijini kwetu hamna aliekua na gari ila watu walikua wanamiliki ng'ombe nyingi wanahama nao, mara Moro goro, wengine Manyara park.

Watoto walikua hawamalizi shule wanachunga wanaoa na kuolewa mapema 🤔nawaza je hyo ni laaana?

Saiv nikienda pale pale kijijini umeme upo, maji ya kutosha, bara bara zipo watu wamejenga sana na vyombo vya usafiri vipo🤔🤔🤔sasa nawaza kama ile ilikua laaana imemalizwa na nn?
Elimu
 
Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne!

Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.

Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)!

Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao!

Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
fact!!!
 
Wakati unalalamika kuwa huu mtaa Una laana na kuendekeza ,pombe ,bangi na wakanawake wenzenu wapemba hawacheki na kima wanapiga pesa mitaa hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom