Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hapana. Ile foul ni ya wazi. Makosa kama yale mareferee wameambiwa watoe straight red card .Ninaangalia hii game ya Afcon kati ya Cape Verde na Senegal , kiukweli hii red card aliyopewa huyu mchezaji wa Cape Verde siyo Sahihi .
Nikilinganisha na yaliyotokea jana kati ya Wenyeji Cameroon na Comoro , ni wazi kwamba kuna Mkakati wa kuzibeba timu za ukanda mmoja , hii ni fedheha kwa Africa .
Hapana. Ile foul ni ya wazi. Makosa kama yale mareferee wameambiwa watoe straight red card .
Nje ya uwanja kulikuwa na mkakati mzito wa coronaKama ya jana ya Comoros
Kipa wa Cape Verde kalimwa nyekundu ya uongo kabisa !The mbeleko mbere kwa mbere
Africa ni laanaNi kweli mkuu,hivi kuna haja ya kadi nyekundu kwa kipa wa Cape Verde pale? Au kwa kuwa kagongana na star?
Huu ni Wehu maana watu wamegongana afu LI refa mavi linatoa kadi nyekundu.
Senegal wala Cameroon hakuna atakayetwaa kombe hiliYaani wabongo kwa ujuaji tu, kipa ameacha mpira ameenda kumgonga kichwa mane, yaani ni bora anegusa ule na mkono. Kipa ndio alikuwa na advantage pale sababu mpira anauona ulikotoka, lakini mane alikuwa i guess tu utaangukia wapi ndomana alikuwa anakimbia wakati huku akikadiria. Ile kadi nyekundu kabisa tena ningekuwa refa mimi na kibao ningemchapa kipa.
KabisaWest Africa now wanafanya kama tu Waarabu tu wakiandaaga Afcon. Kwanza Cameron pamoja na kucheza vizuri lakini sipendi ni kama wanabebwa bebwa tu na ucovid tangu yameanza
Akuna mzee baba.Kuna anayebisha ?
Zitoe mauritania na capevarde sio nchi za Magharibi mwisho wa siku Cameroon yenyewe sio nchi ya magharibi ipo afrika ya kati.Afrika Magharibi wanabebwa vipi wakati hata hao Cape Verde nao ni wa Afrika Magharibi?
Na pia kuna timu nyingi tu za Afrika Magharibi zimeshatolewa kwenye mashindano kama Ghana, Guinea, Guinea Bissau, Sierra Leone, Mauritania, Nigeria na Cape Verde.