Kuna mkakati Maalum wa Kuzibeba Timu za West Africa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ninaangalia hii game ya Afcon kati ya Cape Verde na Senegal , kiukweli hii red card aliyopewa huyu mchezaji wa Cape Verde siyo Sahihi .

Nikilinganisha na yaliyotokea jana kati ya Wenyeji Cameroon na Comoro , ni wazi kwamba kuna Mkakati wa kuzibeba timu za ukanda mmoja , hii ni fedheha kwa Africa .
 
Hapana. Ile foul ni ya wazi. Makosa kama yale mareferee wameambiwa watoe straight red card .
 
Yaani wabongo kwa ujuaji tu, kipa ameacha mpira ameenda kumgonga kichwa mane, yaani ni bora anegusa ule na mkono. Kipa ndio alikuwa na advantage pale sababu mpira anauona ulikotoka, lakini mane alikuwa i guess tu utaangukia wapi ndomana alikuwa anakimbia wakati huku akikadiria. Ile kadi nyekundu kabisa tena ningekuwa refa mimi na kibao ningemchapa kipa.
 
Senegal wala Cameroon hakuna atakayetwaa kombe hili
 
Kadi za hovyo kabisa zinatolewa. Mpira wa Afrika unatumia nguvu.
 
Afrika Magharibi wanabebwa vipi wakati hata hao Cape Verde nao ni wa Afrika Magharibi?

Na pia kuna timu nyingi tu za Afrika Magharibi zimeshatolewa kwenye mashindano kama Ghana, Guinea, Guinea Bissau, Sierra Leone, Mauritania, Nigeria na Cape Verde.
 
Halafu wakiingia World Cup wanaishia hatua ya makundi tu.

Wananikera sana.
 
Afrika Magharibi wanabebwa vipi wakati hata hao Cape Verde nao ni wa Afrika Magharibi?

Na pia kuna timu nyingi tu za Afrika Magharibi zimeshatolewa kwenye mashindano kama Ghana, Guinea, Guinea Bissau, Sierra Leone, Mauritania, Nigeria na Cape Verde.
Zitoe mauritania na capevarde sio nchi za Magharibi mwisho wa siku Cameroon yenyewe sio nchi ya magharibi ipo afrika ya kati.
 
Back
Top Bottom