Tetesi: Kuna mkakati wa kukamata angalau kiongozi mmoja wa upinzani kila wiki , imeagizwa wanyimwe dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni taarifa iliyovujishwa na baadhi ya wazalendo waliochoshwa na uonevu wa kishamba , kwamba viongozi hao wa Upinzani wakamatwe ili kuwatisha na kuwavunja moyo , wanyimwe dhamana angalau kwa wiki moja au mbili ili kuwakomoa .

Hii ni amri iliyosambazwa nchi nzima , huku ikidaiwa kuwa chanzo chake ni kufeli kwa Mkakati wa kuwashawishi masikini kukikimbilia kitambulisho cha wamachinga ambacho sasa kimepewa jina jipya la KODI YA KICHWA , inaaminika kwamba kufeli kwa mkakati huo wa kukamua kila masikini Tsh 20,000 kumesababishwa na wanasiasa wa Upinzani wanaonekana kutumia kila nafasi ndogo wanayopata , ikiwemo mitandao ya kijamii kuwaamsha wananchi na kuwaelimisha kuhusu haki zao.

Tutaendelea kuwahabarisha kila ovu wanalopanga kwa kadri wasamalia wema waliojaa uzalendo watakavyokuwa wanavujisha habari zao.

Naomba kuwasilisha

Duh..!
Mie hapa sikomenti chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alutta continua! continua!

Ok, Lets say wakafunga na kuua wote, je utadhani upinzani utaisha? Tutajenga upinzani wa kimya kimya ambao utakua mbaya sana, watu watalipiza visasi kimya kimya. Sidhani kama CCM wangependa watufikishe huko, siamini kabisa. Siamini kama CCM hakuna mtu mwenye uwezo wa kukemea jambo hili, siamini kabisa.
 
Tumeshakuzoe wewe bwege na habari zako zisizo na miguu wala kichwa!
 
Kwa ccm ya saiv na roho mbaya ya jiwe wapo tayar kuuwa watz wote,wabaki peke yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbi la makusudi la uvunjaji sheria wa makusudi ili tukamatwe wazungu waingilie kati,kwani itaonekana tunagandamizwa,sawaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi. Huyu pamoja na makosa yake lakini alikuwa ni zawadi kutoka kwa Muumba kwa Watanzania. Alikuwa na mapenzi ya kweli kwa Tanzania na Watanzania, hakuwa na chuki za kutisha wala visasi na ndiyo sababu hata waliotaka kumpindua aliwasamehe. Hakuwa muongo, mwizi wala fisadi ukilinganisha na hawa waliokuja baada yake ni majanga matupu!

Aiseee !!! Nyerere alikuwa noma !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…