Tetesi: Kuna mkeka utatoka wakati wowote kuanzia sasa

Tetesi: Kuna mkeka utatoka wakati wowote kuanzia sasa

Mhe Rais. Mimi kwa maoni yangu naona IGP Wambura hana tatizo. ILA TATIZO KUBWA LIPO KWA AWADHI. Na sijui ni kigezo gani kilitumika kumpandisha hadi vyeo na nafasi hiyo aliyonayo. AWADHI anafahamika tangu zamani kuwa NI MUUMINI WA UBABE , na hawezi kufuata ustaarabu wa haki na sheria maana huenda anaona tabia yake ya ubabe na ukatili ndivyo vimemfikisha hapo juu
 
Back
Top Bottom