peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome.
Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo.
UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha mapungufu yake.
CCM inatumia hila, mbinu na kila njia ili ujinga huo upitishe.
Wasome pia adhari za mikataba mibovu aliyoingia kikwete na kuivuja magufuli.