peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jul 20, 2023 #1 Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome. Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo. UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha mapungufu yake. CCM inatumia hila, mbinu na kila njia ili ujinga huo upitishe. Wasome pia adhari za mikataba mibovu aliyoingia kikwete na kuivuja magufuli.
Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome. Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo. UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha mapungufu yake. CCM inatumia hila, mbinu na kila njia ili ujinga huo upitishe. Wasome pia adhari za mikataba mibovu aliyoingia kikwete na kuivuja magufuli.
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jul 20, 2023 Thread starter #2 Jamaa ameuliza ukomo wa Mkataba wa Bandari! Your browser is not able to display this video.