Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Hizi zinasaidia kuburn unnecessary fat kwenye mwili wako na pia kuondoa roho ya hofu
Duh mkuu hapa kwenye kumaintain hofu naelewa, ila Hapo kwenye kuburn fat ndo imekaaje hii?!
 
Inaizidi movie ya Mateso ya yesu..the passion of the christ??

Kuna washikaj walimpiga mijeledi mr yesu mpaka nyama inatoka...wale jamaa sijui wa kitengo?
Mkuu, umenikumbusha siku zile hiyo picha inatoka. Tulikuwa tunatangaziwa idadi ya watu wanaokufa, baada ya kuitazama hiyo picha. Nilinunua DVD yake, lakini sijawahi kuitazama hata siku moja!
 
phantom soldier kitambo sana mzee baba[emoji95]
 
Hizi zinasaidia kuburn unnecessary fat kwenye mwili wako na pia kuondoa roho ya hofu
hiyo unnecessary burn ikiwepo inaleta mushkeli gani?? hell no hujanishawishi,nilishawah kujaribu kuangalia hizo movie lakini hata robo yake skumaliZa na hilo eneo niliondoka
 
hiyo unnecessary burn ikiwepo inaleta mushkeli gani?? hell no hujanishawishi,nilishawah kujaribu kuangalia hizo movie lakini hata robo yake skumaliZa na hilo eneo niliondoka
Dah!
Eti hiyo Unnecessary burn ikiwepo inaleta mushkeli gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Madame S bhana!
 
Kuna movi moja jina nimeisahau iko hivi, hautakiwi kusinsia, ukilala tu inakuwa Kama ndoto ... Ndo mtu akufa ivo...

Quit place

Cannibalism

The nun.

The thing.


Tafuta hizo movie
Eml street chini ya mtu baya Freddy Kruegger hahaha
Namkubali sana jamaaa, ukilala tu ana wewe.
 
kuna movie moja niliicheki miaka ya nyuma, nmeshaisahau jina ila jina la huyo mzimu alikuwa anaitwa "ESEKA" aiseee inatisha sanaaaa
mwenye kufahamu jina la hiyo movie anisaidie tafadhali
 
Mie napenda horror film kama izo the conjuring.

Lkn film kama SAW au wrong turn (thriller) zisipendi. Mambo ya kuona scenes za damu damu kama vile sichukui. Na utuuzima huu ndio kabisa
Ni sawa na movie ya the Terminator wakati inaanza kuoneshwa miaka ile ya tisini. Scene ya Jini anavyokwenda na kumfumua ubongo yule Nigga, very exciting πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Msaada jamani app nzuri ya kupakua movies
Cinema apk ukipata office yenye free wi-fi kwa wafanya kazi wake utakuja kunishukuru. Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi wakawa wameiblock torrent nikawa nawaumiza na hiyo app hadi naondoka hawakunipata ni mwendo wa VPN nakustream nikichoka na download
 
Hii ni mimovie ya kishetani inayowajengea usugu wa kuona kifo/ mauaji ni kit cha kawaida sana ndio yanapelekea jamii kuharibika bila kuwa na hofu ya kutekeleza mauaji ya kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…