Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Kuna movi moja jina nimeisahau iko hivi, hautakiwi kusinsia, ukilala tu inakuwa Kama ndoto ... Ndo mtu akufa ivo...

Quit place

Cannibalism

The nun.

The thing.

Tafuta hizo movie
 
Kuna movi moja jina nimeisahau iko hivi, hautakiwi kusinsia, ukilala tu inakuwa Kama ndoto ... Ndo mtu akufa ivo...

Quit place

Cannibalism

The nun.

The thing.

Tafuta hizo movie
Thanks mkuu ila hiyo ambayo umesahau jina kisa chake kimenivutia.
A quiet place na The Nun nishazicheki ntajaribu hizi nyingine
 
Back
Top Bottom