Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Jana nimetizama Tenants ile ya ki espaniol na vile nina fear ya trypothobia dah sikuweza kula wala kupata usingizi maana ngozi ilisisimka sana
Pole Sana mkuu japo siifahamu hiyo movie
 
Nmesahau na Omen 666. Niliziona zamani sana zipo part 3.

Mie nimeangalia sana horror films, nshazisahau titles. Ila nikikimbuka ntakuwa nakutajia.

Kuna:
Light out
Ouija
No body sleep in the wood tonight
The Ring
Insidious
Paranormal activity
Asante Sana mkuu Nita appreciate Sana.
Please usiache uwe unanitajia ukikumbuka na hizi ulizonitajia hapa nimeadd kwenye list ntazitafuta.
 
Vijana kadhaa walienda kufanya research kwaajili ya kustaharabisha jamii fln iliyokuwa na mila potofu kabla ya kufika kule wakapata ajali kwenye misitu ya amazon ambako walikutana na raia flan wanaokula watu walifyekwa karibu woote
Mmh interesting 🤨
Ntaitafuta na hii
 
ewaaa mimihizo ndio zangu kina moorim school, city hunter na zinginezo
I knew it!😀
Huwa sishawishikagi Sana na Korean series ila Kuna Moja niliicheki kidogo niliielewa.
Inaitwa 'Innocent defendant' story yake Ni very interesting.
Ila nikipata muda nataka nitafute na ile ya kuitwa 'IRIS' na nyingine inaitwa 'GIANT' maana nilionaga wadau kibao humu wanazisifia Sana.
 
giant iko vzr mnoo nimeshaiona hiyo mimi movie watu wanaliwa na binadam wenzao au mambo ya mizimu hell no siwezi nitakua naangalia jicho moja au niondoke kabisa eneo hilo angalau kidogo adventure movies najikaza mno kuziangalia hiz n zile majamaa labda wameenda kutaliaa msituni mara watokewe na wanyama waajabu napo pia naogopa ila kiasi naweza jikaza hizo thriller sijui horror angalieni tu mie zimenishinda
 
umesoma shule gani ?
Sijajua kwanini umeniuliza hili swali kiongozi, ila Kama Ni kwasababu ya makosa ya kiuandishi nimeshaedit hiyo comment.
Nimesoma Santi kayumba fulani hivi Dar huko.
 
giant iko vzr mnoo nimeshaiona hiyo mimi movie watu wanaliwa na binadam wenzao au mambo ya mizimu hell no siwezi nitakua naangalia jicho moja au niondoke kabisa eneo hilo angalau kidogo adventure movies najikaza mno kuziangalia hiz n zile majamaa labda wameenda kutaliaa msituni mara watokewe na wanyama waajabu napo pia naogopa ila kiasi naweza jikaza hizo thriller sijui horror angalieni tu mie zimenishinda
😄😄
Hupendagi kushitua shitua ubongo wako bila sababu Mamie.
Hizo adventures Kuna Moja niliicheki I inaitwa CONGO.
Inahusu kundi ka watafiti walioenda msitu fulani nchini Congo kutafuta almasi za blue ambazo Ni utajiri mkubwa sana.
Ila walikutana na magorilla hayo Yana rangi ya kijivu yakaanza kuwashambulia na kuwaua.
Sikumbuki Kama niliwahi cheki Adventure nyingine.
 
Back
Top Bottom