Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Mi nataka zile muvi ndani yake wanakulana live. Nilibahatika kuona moja bahati mbaya sikuangalia jina lake
 
Inaizidi movie ya Mateso ya yesu..the passion of the christ??

Kuna washikaj walimpiga mijeledi mr yesu mpaka nyama inatoka...wale jamaa sijui wa kitengo?
Na pale alivyodondoka na msalaba kifudifudi akiwa ameshapigiliwa tayari hatari Sana.
 
Kimsingi unavutiwa na Horror zenye Ghost storyline, tafuta hizi zina story nzuri za Ghostline
1)The Ring
2)Annabele La Creation
3)Extricism kama sikosei
4)Mama

Mtajieni nyengine zenye story za mzimu
Asante mkuu kwa kuliona hili.
Hiyo namba 3 nafikiria Ni 'Exorcism'.
Nimeziadd kwenye list ntatafuta nizicheki.
 
Jana nimetizama Tenants ile ya ki espaniol na vile nina fear ya trypothobia dah sikuweza kula wala kupata usingizi maana ngozi ilisisimka sana
 
Back
Top Bottom