Tetesi: Kuna mpasuko mitaa ya Ufipa. Ishu ya bandari yatajwa

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,729
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni.

Tetesi zinasema tayari wanachama wengi wameanza kumtupia lawama Mwenyekiti na viongozi wengine waliohutubia kwenye viwanja vya Buriaga, Temeke. Kuna walioenda mbali zaidi na kutaka mwenyekiti ajitokeze mbele ya waandishi wa habari na kutoa tamko.

Ikumbukwe siku chache chama hiki chenye siasa za udini na ukabila (kaskazini) lilikusanya mapadre, wachungaji na maaskofu kwenye viwanja vya Bulyaga kwa nia ovu ya kuichonganisha serikali pendwa ya Mama Samia na wananchi kwa hoja ya Bandari. Wananchi wengi walionyeshwa kusikitishwa na mkutano ule ulioonekana kama wa injili na kuahidi kukiadhibu hicho chama kwenye sanduku la kura.

Sheikh mmoja mwenye busara ameonekana akishangaa na kujiuliza kama chama kisichokuwa na dola kinawabagua Watanzania kwa misingi ya kidini itakuwaje wakikamata dola?

Mimi ninamjibu kwa kumwambia hali itakuwa mbaya zaidi. Ninawasihi wazalendo wote kujiweka mbali na hiki chama na kukiadhibu kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo kupitia sanduku la kura.
 
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni. Tetesi zinasema tayari wanachama wengi wameanza kumtupia lawama mwenyekiti na viongozi wengine waliohutubia kwenye viwanja vya Buriaga, Temeke. Kuna walioenda mbali zaidi na kutaka mwenyekiti ajitokeze mbele ya waandishi wa habari na kutoa tamko.

Ikumbukwe siku chache chama hiki chenye siasa za udini na ukabila (kaskazini) lilikusanya mapadre, wachungaji na maaskofu kwenye viwanja vya Bulyaga kwa nia ovu ya kuichonganisha serikali pendwa ya Mama Samia na wananchi kwa hoja ya Bandari. Wananchi wengi walionyeshwa kusikitishwa na mkutano ule ulioonekana kama wa injili na kuahidi kukiadhibu hicho chama kwenye sanduku la kura.

Sheikh mmoja mwenye busara ameonekana akishangaa na kujiuliza kama chama kisichokuwa na dola kinawabagua watanzania kwa misingi ya kidini itakuwaje wakikamata dola? Mimi ninamjibu kwa kumwambia hali itakuwa mbaya zaidi. Ninawasihi wazalendo wote kujiweka mbali na hiki chama na kukiadhibu kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo kupitia sanduku la kura.

Issue ya DPW si ya ufipa, ni issue ya watanzania wote. Acheni kupotosha watu...hii si issue ya kisiasa
 
Leo hata buku moja hupewi kwa pumba hizi!
 
Rutashubanyuma

Unaitwa hapa.

Kombora la Uzi wako ndii hii
 
Hii ya kichoko sana
 
Kati ya mdini ni nani ! Ccm au vyama pinzani!
Mbona wawekezaji wametumia imani ya mtu ambaye ni raisi.
Umeshasikia zuberi kaongea,kwa nini wapo tanganyika na znz.
Kwa nini wanarubuni upande mmoja kama kusaidia ili wanyamaze.walishakwenda kwa gwajima ili habadili msimamo kukubari.

Mda mwengine hata ukitaka kumtukana mtu weka stahaa ila stahaa ya Dp world hipo wazi.
The boss na bibi faiza ndio waungaji sana kutoka znz
 
Watu baki ndio mnaokuza habari za mipasuko au malumbano ya kidini...
 
Back
Top Bottom