- Thread starter
- #41
Andika kwa kiswahili itakusaidia kuepuka aibu ndogo ndogo.This is another crap from mind crippled.
Mleta mada, wahi hospitali, japo magonjwa ya akili huwa hayaponi kwa 100%.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika kwa kiswahili itakusaidia kuepuka aibu ndogo ndogo.This is another crap from mind crippled.
Mleta mada, wahi hospitali, japo magonjwa ya akili huwa hayaponi kwa 100%.
Ndugu Tindo sio lazima kila kitu uchangie. Nenda kasome post za mapishi zitakusadia kwenye kumpikia mumeo.Umejiunga mwezi uliopita hapa jukwaani ili kuja kuandika huu utoto?
PumbafuuuuuuHabari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni.
Tetesi zinasema tayari wanachama wengi wameanza kumtupia lawama Mwenyekiti na viongozi wengine waliohutubia kwenye viwanja vya Buriaga, Temeke. Kuna walioenda mbali zaidi na kutaka mwenyekiti ajitokeze mbele ya waandishi wa habari na kutoa tamko.
Ikumbukwe siku chache chama hiki chenye siasa za udini na ukabila (kaskazini) lilikusanya mapadre, wachungaji na maaskofu kwenye viwanja vya Bulyaga kwa nia ovu ya kuichonganisha serikali pendwa ya Mama Samia na wananchi kwa hoja ya Bandari. Wananchi wengi walionyeshwa kusikitishwa na mkutano ule ulioonekana kama wa injili na kuahidi kukiadhibu hicho chama kwenye sanduku la kura.
Sheikh mmoja mwenye busara ameonekana akishangaa na kujiuliza kama chama kisichokuwa na dola kinawabagua Watanzania kwa misingi ya kidini itakuwaje wakikamata dola?
Mimi ninamjibu kwa kumwambia hali itakuwa mbaya zaidi. Ninawasihi wazalendo wote kujiweka mbali na hiki chama na kukiadhibu kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo kupitia sanduku la kura.
Acha kumtukana hawara wa mama yako.Pumbafuuuuuu