Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Jina lako linaakisi tu umejazwa na ukabila kichwani kwakoUpinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kila siku mnasema kuna mpasuko ccm,mkiingia uchaguzini mnaangukia pua.Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madil...
Wakati wakukwiba, na kula yalichokwiba yanabaguana🤔.Wakati wa kuiba kura huwa yanaungana na kuwa kitu kimoja
Magufuli hafai kutajwa katika jamii ya wastaarabu ni miongon mwq watu walio upata urais kimasiahala na wakapagawa nao apumzike tuUpinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Lilifanyika kosa kubwa sana la kimkakati Kuingiza hili kabila ikulu na lisije kufanyika tena kosa la aina hii maana madhara yake ni makubwa sana kwa taifaJina lako linaakisi tu umejazwa na ukabila kichwani kwako
Hana akili huyu bwege.Jina lako linaakisi tu umejazwa na ukabila kichwani kwako
Bila hata chadema nao kubadilika na kuondoa migogoro pia ndani ya chama,hamtakua na nguvu kushinda Kama ile ya 2010 na 2015 mtabaki kulaumu tu na hivi Kila uchaguzi mnasusia mtasusia Hadi huo uchaguzi mkuu wa 2025 Mana hakuna dalili za kubalishwa kwa hizo tume mnazotaka Zibadilishwe na hapo pia ccm watachukulia advantage pia ya kuwashindaTayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili...
#Tume huruBila hata chadema nao kubadilika na kuondoa migogoro pia ndani ya chama,hamtakua na nguvu kushinda Kama ile ya 2010 na 2015 mtabaki kulaumu tu na hivi Kila uchaguzi mnasusia...
Sasa ukiambiwa zitabadilishwa baada ya uchaguzi 2025 Mana ccm ndo wanamamlaka,nyie mtafanyeje na mnataka mshinde uraisi?#Tume huru
# katiba mpya.
Acha kufikiria mambo yasiyofikirikaSasa ukiambiwa zitabadilishwa baada ya uchaguzi 2025 Mana ccm ndo wanamamlaka,nyie mtafanyeje na mnataka mshinde uraisi?
Hahaha hata akinagwajima nao wanausahau wokovu wanakwapua kura.Wakati wa kuiba kura huwa yanaungana na kuwa kitu kimoja
Wewe mataga ya upinzani hayakuhusu,au umenyimwa bk7?Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Mkuu vyama vyote Duniani wanachama wao kamwe hawawezi kukuosa makundi. Hivyo ndani ya CCM kuna makundi na siyo mpasuko. Tangia CCM kikiwa chama pekee bado kulikuwa na makundi. Kulikuwa na kundi lilikuwa likimpinga Nyerere kwa kufuata mfumo wa ujamaa.Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Huyo wacha atumikie adhabu yake kwa maovu aliyotufanyiaUpinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app