Kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM. Je, sisi wapinzani tutanufaika 2025?

Kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM. Je, sisi wapinzani tutanufaika 2025?

Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Sema wao wapinzan sio sisi wapinzan!! Wew ni kamanda usiechoka kutoka Lumumba avenue!!!
 
Bila hata chadema nao kubadilika na kuondoa migogoro pia ndani ya chama,hamtakua na nguvu kushinda Kama ile ya 2010 na 2015 mtabaki kulaumu tu na hivi Kila uchaguzi...
Mzee yaan unahangaika kumjibu MATAGA?🤣🤣🤣🤣 Huyo ni kamanda asiechoka kutoka Lumumba avenue!!!
 
Upinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hawawezi na hapo ndipo shimo lao. Wangelikuwa na akili wangejifungamanisha na Magufuli ili 2025 watoboe. Magufuli ni turufu ya ushindi 2025
 
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Ni kweli CCM wamegawanyika. Dira mpaka sasa haieleweke kama ipo au vipi
 
Ccm inanihusu? Usithibitishe ujinga wako kwenye jamii

Hata usipokiri lakini unaeleweka, na post zako zinadhihirisha hilo. Unajaribu kujivika ucdm, ila una uwezo mdogo, ama una mahaba ya wazi kwa ccm ambayo unashindwa kuyaficha kwenye post zako unazojivika ucdm.
 
Kusema kweli sio mahaba.
 
Magufuli hafai kutajwa katika jamii ya wastaarabu ni miongon mwq watu walio upata urais kimasiahala na wakapagawa nao apumzike tu
Wanaofikiri kapumzika maombi yao yanamzidishia ukali anaejua kutesa.
 
Kila siku mnasema kuna mpasuko ccm,mkiingia uchaguzini mnaangukia pua.

Badala ya kujenga vyama imara mnategemea mpasuko wa ccm uwaingize ikulu
Naoma mataga wa Chamwino unamjibu mataga mwenzako wa Lumumba
 
Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Tanzania Hamna upinzani.upinzani wa maana
 
Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Tukutane "spesi" kujadiliana ☺️
 
Lilifanyika kosa kubwa sana la kimkakati Kuingiza hili kabila ikulu na lisije kufanyika tena kosa la aina hii maana madhara yake ni makubwa sana kwa taifa
Naunga mkono HOJA..Hawa waishiage kwenye uwaziri
 
Bila hata chadema nao kubadilika na kuondoa migogoro pia ndani ya chama,hamtakua na nguvu kushinda Kama ile ya 2010 na 2015 mtabaki kulaumu tu na hivi Kila uchaguzi mnasusia mtasusia Hadi huo uchaguzi mkuu wa 2025 Mana hakuna dalili za kubalishwa kwa hizo tume mnazotaka Zibadilishwe na hapo pia ccm watachukulia advantage pia ya kuwashinda

#Endeleeni kususia uchaguzi
Wewe uliiba kura na dhuluma unatoa ushauri CHADEMA wabadilike

Ikiwepo time huru ya uchaguzi ccm inaanguka saa 2:00 asubuh
 
Back
Top Bottom