Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Makundi sio mpasukoMkuu vyama vyote Duniani wanachama wao kamwe hawawezi kukuosa makundi. Hivyo ndani ya CCM kuna makundi na siyo mpasuko. Tangia CCM kikiwa chama pekee bado kulikuwa na makundi. Kulikuwa na kundi lilikuwa likimpinga Nyerere kwa kufuata mfumo wa ujamaa...
Hakuna chama kisicho na mpasuko,hata wewe famikia yako ina mpasukoTayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Ww sio mpinzani, labda ujiunge na hicho chama bortion kinachoanzishwa na ccm kwa kushirikiana na Tiss. Na kwa taarifa yako wapinzani hususan cdm hawategemei kushinda uchaguzi wowote hadi ccm wagawanyike.Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Upinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hao ni sikio la kufa, hata uwashauri vipi hawakuelewi…..Upinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sina muda wa kuwajibu wapuuzi kama wewe.Ww sio mpinzani, labda ujiunge na hicho chama bortion kinachoanzishwa na ccm kwa kushirikiana na Tiss. Na kwa taarifa yako wapinzani hususan cdm hawategemei kushinda uchaguzi wowote hadi ccm wagawanyike. Cdm huwa inapata ushindi hata CCM wakiwa wamoja, ila huwa wanaporwa ushindi wao na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Hiyo 2025 hakuna mpiga kura anayejitambua atajitokeza kupiga kura bila tume huru ya uchaguzi, hata kama vyama vyote vya upinzani vitakubali kushiriki.
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Mpasuko ndani ya CCM bila Katiba Mpya hauwezi kuwabeba.Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Yaliyopita si ndweletatizo lenu mnagombana na mtu aliekata moto mapema,
2) mnaweza mgombea anaelezea simanzi badala ya kazi, tayar tuna matatizo na malalamiko mengi how comes unaleta mgombea wa kutuongezea matatizo
hata chadema nao kubadilika na kuondoa migogoro pia ndani ya chama,hamtakua na nguvu kushinda Kama ile ya 2010 na 2015 mtabaki kulaumu tu na hivi Kila uchaguzi mnasusia mtasusia Hadi huo uchaguzi mkuu...
Umeandika nini?Watachukulia advantage ya kutushinda wakati wakati hatushiriki, sasa hapo wanatushindaje? Kwa taarifa hata hao wapinzani kutokushiriki ni ushindi tosha maana hata wapiga...
Umeandika nini?
Bila tume huru au katiba mpya ni kupoteza muda sawa na kuoga na kurudi kwenye tope.Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
MiCCM ikijigundua inapasuka hukaa na kugawana maslahi basi tena!Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Wako kama fisi wanaovizia mkono wa binadamu.Kila siku mnasema kuna mpasuko ccm,mkiingia uchaguzini mnaangukia pua
Badala ya kujenga vyama imara mnategemea mpasuko wa ccm uwaingize ikulu
Tutaacha pale tu watakaposhughulikiwa wale wote waliomshambulia Mh Lissu kwa risasi.Upinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app