Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

hiyo kauli umeikata ili uifanyie utakacho,hiyo ni jauli aliyokuwa akielezea nyakati zile jakaya anamuita kumwambia kuwa ccm inamteua kuwa makamu wa rais,wewe unaileta muda huu,mangapi kafanya rais tena makubwa sana
Haya muandalie uzi wa kumpongeza kwa hayo mazuri aliyokutendea wewe na ukoo wako.
 
Basi kaa kimya huna haki ya kuona wenye mtazamo hasi juu yake wanafanya dhami, amini unachoamini nami niamini ninachoamini, simple.
safi hapo umenena,kaa ukiamini hajafanya wakati mimi naona kwa macho kafanya na sina shida na maoni yako,endelea tu bro
 
kizuri chajiuza bro wala sina haja ya kumuandalia uzi
Uliona wapi rais anatengenezewa mabango ya kumtangaza barabarani km matangazo ya dume kondomu ama soda ya pepsi.. mnalazimisha kumuumbia sifa ?
 
Back
Top Bottom