CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Nov 13, 2024 #221 fimboyaukwaju said: hiyo kauli umeikata ili uifanyie utakacho,hiyo ni jauli aliyokuwa akielezea nyakati zile jakaya anamuita kumwambia kuwa ccm inamteua kuwa makamu wa rais,wewe unaileta muda huu,mangapi kafanya rais tena makubwa sana Click to expand... Haya muandalie uzi wa kumpongeza kwa hayo mazuri aliyokutendea wewe na ukoo wako.
fimboyaukwaju said: hiyo kauli umeikata ili uifanyie utakacho,hiyo ni jauli aliyokuwa akielezea nyakati zile jakaya anamuita kumwambia kuwa ccm inamteua kuwa makamu wa rais,wewe unaileta muda huu,mangapi kafanya rais tena makubwa sana Click to expand... Haya muandalie uzi wa kumpongeza kwa hayo mazuri aliyokutendea wewe na ukoo wako.
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Nov 13, 2024 #222 CHIEF PRIEST said: Haya muandalie uzi wa kumpongeza kwa hayo mazuri aliyokutendea wewe na ukoo wako. Click to expand... kizuri chajiuza bro wala sina haja ya kumuandalia uzi
CHIEF PRIEST said: Haya muandalie uzi wa kumpongeza kwa hayo mazuri aliyokutendea wewe na ukoo wako. Click to expand... kizuri chajiuza bro wala sina haja ya kumuandalia uzi
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Nov 13, 2024 #223 fimboyaukwaju said: kizuri chajiuza bro wala sina haja ya kumuandalia uzi Click to expand... Basi kaa kimya huna haki ya kuona wenye mtazamo hasi juu yake wanafanya dhami, amini unachoamini nami niamini ninachoamini, simple.
fimboyaukwaju said: kizuri chajiuza bro wala sina haja ya kumuandalia uzi Click to expand... Basi kaa kimya huna haki ya kuona wenye mtazamo hasi juu yake wanafanya dhami, amini unachoamini nami niamini ninachoamini, simple.
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Nov 13, 2024 #224 CHIEF PRIEST said: Basi kaa kimya huna haki ya kuona wenye mtazamo hasi juu yake wanafanya dhami, amini unachoamini nami niamini ninachoamini, simple. Click to expand... safi hapo umenena,kaa ukiamini hajafanya wakati mimi naona kwa macho kafanya na sina shida na maoni yako,endelea tu bro
CHIEF PRIEST said: Basi kaa kimya huna haki ya kuona wenye mtazamo hasi juu yake wanafanya dhami, amini unachoamini nami niamini ninachoamini, simple. Click to expand... safi hapo umenena,kaa ukiamini hajafanya wakati mimi naona kwa macho kafanya na sina shida na maoni yako,endelea tu bro
Yoso JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 954 Reaction score 1,417 Nov 13, 2024 #225 fimboyaukwaju said: kizuri chajiuza bro wala sina haja ya kumuandalia uzi Click to expand... Uliona wapi rais anatengenezewa mabango ya kumtangaza barabarani km matangazo ya dume kondomu ama soda ya pepsi.. mnalazimisha kumuumbia sifa ?
fimboyaukwaju said: kizuri chajiuza bro wala sina haja ya kumuandalia uzi Click to expand... Uliona wapi rais anatengenezewa mabango ya kumtangaza barabarani km matangazo ya dume kondomu ama soda ya pepsi.. mnalazimisha kumuumbia sifa ?