Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

Anakufaje Njaa na ana ofisi ya tigopesa!?
 
Kila siku tunawaambiwa kama unataka kumfanyia vitu mwanamke ambaye hujamuoa hakikisha umemzidi mara 90.

Sasa mrudishe akijipata tena atakuacha muacho mmoja huo utalia maisha yako yote !!
Tafuta msichana mwingine mwenye utayari na mapenzi ya kweli oa achana na hilo Jangili
 
Mi sio nabii ila nina uhakika we jamaa ni muangalia p*rno mzuri, mpiga nyeto, mcheza kamari, una aibu, hufanyi mazoezi, ni bonge, hupendi mboga za majani, mvivu, huwezi kuangaliana machoni na watu, huwezi kuongea vizuri, hunywi maji ya kutosha..mkuu acha usnge
 
Mwanamke hakupendi kwa kumhudumia kumbuka Yule said wa Mwanza mkewe alikosa nini mpaka akaenda kwa tamasha la diamond na ex wake.
Yaani ni wajinga wanahudumia wanawake wanadhani kuwa ndio wanapendwa.
Na wao wanavutiwa Kama wewe unavyotiwa na wao. Kwanza uone Kama unatumia gharama nyingi ama unaombwa hela na kuelezwa matatizo hapo haupendwi.
 
Soma huu uzi ujue kitu kuhusu kiongozi wenu watu dhaifu kwa wanawake.
 
Love is a real mental Case!
 
Mimi huwaga na chuki Kama Adolf Hitler Kwenye ""Mein Kampf"" ( my struggle)
Sijawai msamehe mwanamke msaliti upendo hugeuka gafla na kua uadui...
NB.
Ogopa mwanamke anae kupenda akiwa na matatizo /shida maana huyo kwenye Raha atakusahau...be strong enough to move on.. achana na UZALENDO huo ulio nao mwanamke msaliti hauna haja ya kua MLEZI WA WANA.
 
Ukiona mwanamke ametanguliza pesa mbele ujue huyo si wa mtu mmoja. Ni wa yeyote mwenye pesa. Mwanamke hujamuoa ila anaomba umpe mtaji badala ya kuomba ndoa.. bro ujue tu huyo so wako lambda kwa bahati sana. Tena ukute amekosa mwenye pesa kuliko wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…